Je wanao-reseat paper form6 wanapewa alama wanazopata?

Heri D

New Member
Dec 30, 2017
3
0
Naomba mnisaidie wana JF kuna dogo langu linariseat form-6

Je, wanawekewa alama kama wanazopata au hatakama amepata 'A' unawekewa principal pass tu yaan 'C' kama wanazopata ilivyo kwa mfumo wa chuo??????
 
Yap kama upo tayar nikuekelekeze shule ambayo utakuta hao wanapata one had two had utashangaa
 
Back
Top Bottom