b4theg
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 359
- 1,221
Habari wana jf.
Naomba nifahamishwe upangwaji wa ada za vyuo vikuu vya binafsi uzingatia maswala gani haswa? Pia kuwepo kwa penalty kwa wanachuo wanao chelewa kulipa ada ni jambo sahihi? Kama ni sahihi kwanini na kama sio sahihi ni kwanini.
Mdau wa elimu.