Wataalam Wa Counseling Tukutane Hapa

Wataalam Wa Counseling Tukutane Hapa

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,598
Reaction score
21,813
Nina mdogo wangu wa kike yuko form vi CBE na mwezi wa 5 anafanya Necta...Kinachoniumiza dogo kakataa tamaa ya kufaulu anadai masomo magumu mno, keshatuambia akifaulu sana labda div 3 .....Dogo FM iv alitoka na div 2 na alikuwa na morali kubwa kuliko A level....
 
Mpeleke Kwa Chris Mauki Au Kwa Wachungaji Wamwombee Lakini Hili La Pili Ndo Muhimu Sana
 
Kikubwa, unapaswa kujua mpaka anafikia hatua ya kukata tamaa ya kufaulu sababu ni nini? Kama ashawahi kukupa hata sababu kidogo ya kushuka kwa morale yake nadhani ungeiweka hapa mkuu alafu wajuvi waanze session.
 
Anasema topics ni nyingi mno na akisoma anasahau sahau sana.
 
Akupe ratiba yake ya masomo akague vizuri utapata pa kuanzia, ila pia inabidi umfanye aondokane na tabia ya kusema anasahau sahau, aweke juhudi + maarifa nothing is impossible. Njia nzuri zaidi binafsi naona aelewe anachofundishwa na sio kukariri, mtu anayekariri lazima apate ukakasi hasa akiwa na notes nyingi.

Akielewa sasa ndo afanye revisions za kutosha. Akumbuke tu anapo-revise contents lazima asome contents intensively, recall contents, pia atengeneze notes zake mwenyewe kutoka based on a revised contents, mwisho afanye uhakiki wa alichokifanya kwa kufananisha notes alizotengeza na actual notes.

Asali sana na apende shule.
 
Thanx mkuu
 
Back
Top Bottom