Unakumbuka tukio gani ambalo hutolisahau maisha ya shule za bweni

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
Kuna wanafunzi hasa waliokuwa wanasoma mbali walikuwa hawarudi nyumbani mpaka wanapomaliza Form 6

Wale wa Kigoma ,mwanza na Ngara huko walikuwa wakiaga nyumbani kwenda form 5 walikuwa hawarudi mpaka wamalize Secondary hahahah Long sana aiseee.Kila shule walikuwepo hawa!

Sisi watoto wa Town ilikuwa kila Ijumaa tunadondoka home hasa sisi wa Gomz tuliosoma PUGU SEC


Karibuni tukumbushie maisha ya secondary
 
Tulitoroka mchaka mchaka asubuhi kumbe walipewa namba tukaamua kukacha assembly tukienda machakani kuchoma mahindi.

Tulipokosekana darasani simu zilipigwa kwa wazazi. Kilichonisevu ni kuwa msure hakuwepo ofisini enzi zile za simu za mezani.

Jioni tumerudi headmistress ananiambia nisingekuona leo ningeacha ujumbe baba yako apewe taarifa.
 
Back
Top Bottom