tatizo la Elimu Tanzania NI la kimfumo, lakin pia tatizo lingine NI vitendea kaz maana ukisha taja flash tayari unaongelea mifumo ya computer Je shule ngapi zina umeme na compiter? changamoto mpya ingawa una wazo zuri MkuuNashauri,serikali iandae walimu,wataalamu,,kisha waandae vipindi mbalimbali vya masomo,ambavyo vitawekwa kwenye CDs,flash nk,,kisha wazisambaze shuleni hasa shule zenye uhaba wa walimu,!!!
Kukosoa ni ruksa
nawasilisha
Umeme wa solar upo,lakn pia Rea wamejitahidi,wako mbali sana, au wanaweza kuwatumia maofisa elimu kata,wawe wanatembea na power point,angalau kwa mwezi mara 2 au mara 3 kwa kila shuleUmefikiria kwa shule za mjini tu,,,, kuna shule ziko porini sana ambazo hazina miundo mbinu za kuwezesha hizo CD
Nashauri,serikali iandae walimu,wataalamu,,kisha waandae vipindi mbalimbali vya masomo,ambavyo vitawekwa kwenye CDs,flash nk,,kisha wazisambaze shuleni hasa shule zenye uhaba wa walimu,!!!
Kukosoa ni ruksa
nawasilisha
Umeme wa solar upo,lakn pia Rea wamejitahidi,wako mbali sana, au wanaweza kuwatumia maofisa elimu kata,wawe wanatembea na power point,angalau kwa mwezi mara 2 au mara 3 kwa kila shule
Wazo zuri sana. Hapo miaka ya nyuma around 70's to early 80's kulikuwa na kitu kinafanana na hicho. Ila ilikuwa masomo kutolewa kwa njia ya redio,na shule nyingi zilikuwa na redio. RTD ndo ilirusha masomo hayo . It was very interesting. Naona wazo lako ni zuri,likifanyiwa utafiti na hatimaye utekelezaji mzuri.Nashauri,serikali iandae walimu,wataalamu,,kisha waandae vipindi mbalimbali vya masomo,ambavyo vitawekwa kwenye CDs,flash nk,,kisha wazisambaze shuleni hasa shule zenye uhaba wa walimu,!!!
Kukosoa ni ruksa
nawasilisha
Harafu hizo cd na flash disc zikishasambazwa huko mashuleni ndiyo zinafanyaje?hivi unajua hivyo vitu lazima pawe na vitu vingine ili vifanye kazi?nafikiri kabla ya kusambaza hivyo vitu tajwa kwanza wajenge rooms za kutosha kwenye hizo shule,wapeleke either computer au tv na deck na wahakikishe madarasa yote au shule zote watakazopeleka hivyo vitu wawe wameweka umeme kwanza,wazo lako lilikuwa zuri lakini pia ni la kipuuzi kupindukia.Nashauri,serikali iandae walimu,wataalamu,,kisha waandae vipindi mbalimbali vya masomo,ambavyo vitawekwa kwenye CDs,flash nk,,kisha wazisambaze shuleni hasa shule zenye uhaba wa walimu,!!!
Kukosoa ni ruksa
nawasilisha