sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,757
Habari wanaelimu,
Nia ujitaji sana na past papers za necta solved katika soft copy. Ningepata hata vitabu vya review vingenisaidia ila nipo interior sana mbali na mjini. Nikipiga gharama ya kwenda na kurudi nikaongeza na ya vitabu nashindwa kabisa. Naomba kama kuna anayeweza kunipatia spft copy tu nikasomee humu humu kwenye simu huku huku nilipo.
Nitashukuru sana. Hata kama kuna gharama kidogo tutaelewana maana nilikuwa tayari hata kununua vitabu.