Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari yenu wanajamvi. Nimekuja humu kuomba msaada wa kujua Vigezo vya kuregister cpa foundation level ni vipi na ina cost shilingi ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika gazeti la Mwananchi la 22/02/2018 nilisoma makala inayohusu mkuu wa mkoa wa Dodoma kukabidhi bendera nyeusi kwa wilaya pamoja na shule ambazo zimefanya vibaya katika mitihani ya Sekondari...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali badala ya kushusha walimu kutoka sekondari kwenda msingi "permanently " na bado humalizi tatizo la idadi ya walimu msingi basi kumbe mngeamua tu kuwa walimu wa sekondari wote kwenye mkoa...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Habari zenu wakuu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ninayesomea taaluma ya fedha (Bcom. Finance). Napenda kuendelea na Masters' Degree mara tu nitakapomaliza...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika. Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Habari bandugu, First born wangu amemaliza kidato cha nne na amepata div. II ya point 20. Ni mvulana na anataka comb. ya EGM. Najua anaweza kupata shule ya Serikali, lakini natafuta ya private...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Huu sasa ni uonevu uliovuka mipaka. Mm ni mwl wa art, nimehamishiwa shule ya msingi ndani ya kata. Lakini cha kushangaza mwl mwingine wa art kama mm leo ameripot shule niliyohamishwa mm tena...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi... Naomba mnisaidie chuo kizuri kilichopo hapa Tanzania au hata nchi jirani kinachofundisha fani ya MITINDO NA UBUNIFU. Ahsante
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wana bodi Naomba kujuzwa kwa waliobahatika kupata skolaship nchi za asia hasa KOREA na CHINA, kwa level ya mastars vip kiasi kidogo unachopewa unaweza uka-save kdg? na kwa wastani ni sh...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mheshimiwa Profess Ndalichako, Unafahamu kuwa kuna watu wako Sekta binafsi ila wanatumia vyeti vya watu waliopo Serikalini? Je, unafahamu kuwa wale madaktari, walimu na watendaji wengi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mapema mwezi Februari imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi na muda mrefu katika kada mbalimbali kutoka Serikali ya Jamhuri...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau Kama kuna mwenye materials ya advance kwa kombi ya EGM naomba anisaidie kuyaweka hapa au app tofauti na thl tafadhali Kwa msaada tu wala isiwe kuniuzia. Ahsante Kwa Moyo wa kusaidia wengine.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jaman wa jf hasa wenye upeo na hadhi ya vyuo vyetu hapa nchini ningependa kujua ubora wa hiki chuo cha kampala kilichopo dar es salaam.vp ukisoma unaweza uka compete na mtu aliyesoma mzumbe au udsm.??
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Habarini wana JF, namba mtu anayefahamu site yenye free templates, web source codes anitajie. Nilipata moja inaitwa sourcecodester ila wahindi mle wamefanya yao, unakuta code katikati imebanguliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf anayevijua vyuo vizuri vya kilimo na mifugo ngazi ya diploma na kozi Zinazotolewa msaada tafadhari.
1 Reactions
9 Replies
14K Views
Mwenye uelewa na kupanda kwa boom kwa wanachuo,huwa linaongezeka kila baada ya miaka mingapi? Kwa kuanza,miaka ya nyuma range ilikuwaje? Karibuni kwa mjadala,sina maana nataka wanachuo waongezewe boom
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habarini wana jf , Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili; 1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke 2. Sababu za...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu na wananchi wenzangu wa hiki jukwaa la kitaaluma habari za wikienda! pasipo kupoteza muda mimi si mwenyeji sana wa mtandao huu tukufu ila lengo la kuandaa huu uzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forums Jamani naomba kuliza Naomba munisaidie chuo cha udaktari ambacho kinapatikana kigamboni au kilicho karibu na hapa. Kwa anaejua tafadhali anieambie.
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Habari zenu wana JF, Lengo la Thread hii ni kuwakutanisha wale wote wanaotarajia kuanza masomo ya Advance level mwaka huu. Katika Thread hii tutapeana ujuzi, maswali na resources za kujisomea...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom