Ukipata scholarship nchi za Asia unaweza ku-save kiasi wanachokupa?

PACHOTO

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
1,321
970
Habari wana bodi
Naomba kujuzwa kwa waliobahatika kupata skolaship nchi za asia hasa KOREA na CHINA, kwa level ya mastars vip kiasi kidogo unachopewa unaweza uka-save kdg? na kwa wastani ni sh ngapi za ktz kwa mwezi mwanfunzi anaweza kulipwa,
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom