Mwenye nondo za advance EGM anisaidie

Mwenye nondo za advance EGM anisaidie

Sir kijangwa

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
82
Reaction score
40
Wadau Kama kuna mwenye materials ya advance kwa kombi ya EGM naomba anisaidie kuyaweka hapa au app tofauti na thl tafadhali Kwa msaada tu wala isiwe kuniuzia. Ahsante Kwa Moyo wa kusaidia wengine.
 
dogo soma sana egm comb ya bata nimetoka na one mwaka jana kutoka shule moja ya kata imechoka vibaya nina b yangu ya namber nakula bata ud
 
dogo soma sana egm comb ya bata nimetoka na one mwaka jana kutoka shule moja ya kata imechoka vibaya nina b yangu ya namber nakula bata ud

Usile bata sana. hakikisha unatoka na GPA nzurikinyume na hapo utasumbuka sokoni.
 
Niko makin sana mkuu

sawasawa kabisa! Kaza buti. Kwenye soko la ajira sifa ya kwanza GPA during selection process for interview, then umahiri wako wa kujieleza na exprerience follows. Unachukua B.COM, BA Econ, Statistics, Actuary Sc. or?
 
bda53b94da1678fa5327130810174b62.jpg
 
Back
Top Bottom