Msaada wa site yenye free web templates (source codes)

loulla

Senior Member
Jun 11, 2016
118
225
Habarini wana JF, namba mtu anayefahamu site yenye free templates, web source codes anitajie.
Nilipata moja inaitwa sourcecodester ila wahindi mle wamefanya yao, unakuta code katikati imebanguliwa ili isirun.
Msaada tafadhari.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,159
2,000
Habarini wana JF, namba mtu anayefahamu site yenye free templates, web source codes anitajie.
Nilipata moja inaitwa sourcecodester ila wahindi mle wamefanya yao, unakuta code katikati imebanguliwa ili isirun.
Msaada tafadhari.
Uki google zitakuja sites zote...
 
fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
657
500
huu uzi upeleke jukwaa la tech kwa kiba chief mkwawa utapata mrejesho haraka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom