Ubora wa chuo cha kampala international university (kiu) dar es salaam

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Jaman wa jf hasa wenye upeo na hadhi ya vyuo vyetu hapa nchini ningependa kujua ubora wa hiki chuo cha kampala kilichopo dar es salaam.vp ukisoma unaweza uka compete na mtu aliyesoma mzumbe au udsm.??
 
Ndo maana nikauliza na ukinijibu ujibu kama msomi......kucompare how
 
Hamjampa jibu la yakini, mpeni sifa au kutokuwa na sifa kwa chuo cha kiu, mdau kasome kwa ngazi ya Degree nenda kiu au tafuta prospectors yake uone courses zao, kwa ngazi ya Degree Kama si bora TCU wasingepeleka watanzania pale, msikulupuke kutoa hoja za kukatisha tamaa,st degree hata taasisi ya IPS chanika it's not university inatoa itakuwa KIU? Nenda kaka kasome hakuna shemu ya Kazi popote unapoomba wana kupa sharti la chuo uliposoma cha msingi kimesajiliwa ? Kapige kitabu kaka fanya research mwenyewe sio mtandaoni coz si wote wana shule .@ mdau.
 
Mpe moyo akapotee,chuo cha wafanyabiashara kule,bsc in drinking water
 
Hapana. Mimi nakushauri ukasome chuo kingine na siyo K.I.U. Hamna kitu pale ni ubabaishaji mtupu. Wako kwa ajili ya kupata pesa tu.
Walimu wao hawana sofa stahiki za kuwa mwalimu
Mitihani yao haina kiwango cha kumwandaa mtu kwa level anayosomea
Ukimaliza ukipata cheti shukuru mungu maana vyeti vinatolewa kwa kumwangalia mtu usoni. Yaani mmemaliza mwaka mmoja kozi moja wengine wanapewa cheti mwaka huu wengine mwakani.
Kuna watu wamemaliza pale huu mwaka wa pili hawajapata vyeti vyao wakati wengine baada ya miezi 3 wamepata vyeti vyao.
Uamuzi ni wako.
 
Chuo hakina ubora wwte,elimu yake duni,even its admision points zpo chin xana and generaly kile ni chuo cha waliofeli
 
Jaman wa jf hasa wenye upeo na hadhi ya vyuo vyetu hapa nchini ningependa kujua ubora wa hiki chuo cha kampala kilichopo dar es salaam.vp ukisoma unaweza uka compete na mtu aliyesoma mzumbe au udsm.??

Unazungumzia ubora wa elimu bora ipatikanayo,majengo,umbali kutoka city centre au ubora wa tution fees kubwa?maaana elimu kuna elimu bora na bora elimu
 
chuo cha waliofel coz a person can xcore divsn ziro na akachaguliwa kujiunga na chu xo huon kuwa huo ni wizi m2pu
 
Hapana. Mimi nakushauri ukasome chuo kingine na siyo K.I.U. Hamna kitu pale ni ubabaishaji mtupu. Wako kwa ajili ya kupata pesa tu.
Walimu wao hawana sofa stahiki za kuwa mwalimu
Mitihani yao haina kiwango cha kumwandaa mtu kwa level anayosomea
Ukimaliza ukipata cheti shukuru mungu maana vyeti vinatolewa kwa kumwangalia mtu usoni. Yaani mmemaliza mwaka mmoja kozi moja wengine wanapewa cheti mwaka huu wengine mwakani.
Kuna watu wamemaliza pale huu mwaka wa pili hawajapata vyeti vyao wakati wengine baada ya miezi 3 wamepata vyeti vyao.
Uamuzi ni wako.

Mhusika kauliza ubora wa chuo,wewe unaleta habari za vyeti,kupewa mapema cheti au umechelewa sio kipimo cha ufaulu,toa hoja wacha majungu.kasome mzazi elimu utakayopata hapo ndo itakukomboa na wala sio majengo na jina la chuo.
 
Jaman wa jf hasa wenye upeo na hadhi ya vyuo vyetu hapa nchini ningependa kujua ubora wa hiki chuo cha kampala kilichopo dar es salaam.vp ukisoma unaweza uka compete na mtu aliyesoma mzumbe au udsm.??

ubora wake n mdogo sana ukikompare na udsm na mzumbe kpo kibiashara zaidi hkn kudisco hapo mitihani yake so somple hata coz n chache n bora tcu wakiondoe 2

😎😎
 
kwi kwi kwi! We mchane mwanangu!
 
ubora wake n mdogo sana ukikompare na udsm na mzumbe kpo kibiashara zaidi hkn kudisco hapo mitihani yake so somple hata coz n chache n bora tcu wakiondoe 2

😎😎

mwambie akienda kiu atakuwa mjasirimali mzuri kwa sababu hata kama hatahudhuria lectures mwishowe utagraduate na gpa ya first class,na kazi yako kafanyie uganda ukibaki bongo utaaibika sana
 
Ufananishe Kiu chuo cha wapiga dili na Mzumbe hii ya wakina Mgeta pale faculty of law? Basi lazima utakuwa na matatizo ya kiakili ipimwe pamoja na nabii tito
 
Hii Kiu sijui kuna nini!maana hata wizi wa mitihani ya wizara ya Afya ndio jadi yao.
Yaani hakuna udhibiti wowote na ningeomba kwa kozi za afya NTA levels ziwe chini ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.Wizara ya Afya kuna watu wazembe,waliojaa viburi,wasioambilika,na wanaofanya kazi kwa mazoea.Mtaruhusuje chuo kama kiu kuwa na wanafunzi wengi halafu hawataki kuajiri na badala yake wanaorodhesha watumishi wa serikalini kama vile ndio waajiriwa?
 
Back
Top Bottom