Boom kwa wanachuo huongezeka kila baada ya muda gani?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Mwenye uelewa na kupanda kwa boom kwa wanachuo,huwa linaongezeka kila baada ya miaka mingapi?
Kwa kuanza,miaka ya nyuma range ilikuwaje?
Karibuni kwa mjadala,sina maana nataka wanachuo waongezewe boom
 
soma dogo achana na mawazo ya kupanda boom
 
boom haliongezeki kama tarehe zinavyo songa daily

kunakitu kinaitwa sensitivity analysisi kwenye linear programming
hicho ndo kina determine kiasi cha kupewa ili kikizi matumizi yako kwa siku
mfano unaweza ukawa na constraints 3 zene variable kwa tatu au zaidi
kuisha solve either kwa kutumia excel itakufanya sensitivity analysis ambayo itakueleza ni kiasi gani mwanafunzi anaweza kuongeza kwenye matumizi bila kuharibu bajeti kwa siku
 
Mkuu soma shukuru unachokipata mambo yakuongezeka waachie walioshika mpini wanajua watakatia wapi
 
Mwenye uelewa na kupanda kwa boom kwa wanachuo,huwa linaongezeka kila baada ya miaka mingapi?
Kwa kuanza,miaka ya nyuma range ilikuwaje?
Karibuni kwa mjadala,sina maana nataka wanachuo waongezewe boom
We nani au kwa kazi gani unayofanya hadi magu akuongezee boom
 
Mwenye uelewa na kupanda kwa boom kwa wanachuo,huwa linaongezeka kila baada ya miaka mingapi?
Kwa kuanza,miaka ya nyuma range ilikuwaje?
Karibuni kwa mjadala,sina maana nataka wanachuo waongezewe boom

Kila mwaka wa uchaguzi kulingana na extent ya ukubalikaji wa mgombea kutoka chama tawala kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Kama anakubalika sana,hakuna ongezeko,kama hakubaliki ,mtaongezewa buku au buku mbili hivi
 
Kwahiyo ni personal interest? Siyo fear,maana maisha yanavyokuwa magumu kwao,wanajiongezea mishahara,saiv hata kibarua wa kawaida analipwa elf 10, siyo tena elf 8500, lazima board wabadilike kulingana na gharama za maisha
 
Back
Top Bottom