Natafuta shule ya private nzuri maeneo ya Gongolamboto/Chanika

Jituoriginal

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Messages
362
Likes
5
Points
35
Jituoriginal

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2010
362 5 35
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika.

Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na usafiri wa kumchukua nyumbani na kumrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto na kuwaacha wabebwe na pikipiki..

Na shule iwe na record nzuri ya kufaulisha ...ada na matumizi yote isizidi 3m kwa mwaka.
 
Jituoriginal

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Messages
362
Likes
5
Points
35
Jituoriginal

Jituoriginal

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2010
362 5 35
Mlete Heritage Primary school ipo banana ukonga. Kiwilaya ilikuwa ya4. Kimkoa 14, Kitaifa 61 kwa matokeo ya Grade 7 2017.
Heritage tatizo lao usafiri unaishia Taliano...
 
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
260
Likes
295
Points
80
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2017
260 295 80
Mlete Mtuki Highland, shule mpya ambayo inafanya vizuri ktk Klasta ya Chanika. Shule ipo Buyuni-Taliani.Ina mazingira mazuri, usafir wa uhakika na mtoto anafatwa nyumbani. Piga 0621 266 340.
 
kabugira

kabugira

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Messages
811
Likes
199
Points
60
kabugira

kabugira

JF-Expert Member
Joined May 14, 2014
811 199 60
Wadau ,nimehamia karibuni Buyuni Italiano kama unaenda chanika,namtafutia mwanangu shule ,ili mwakani aanze darasa LA kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, NA iwe NA usafiri wa kumchukua nyumbani NA kmrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto NA kuwaacha wabebwe NA PIKIPIKI.. NA shule iwe NA record nzuri ya kufaulisha ...ada NA matumizi yote isizi 3m KWA mwaka.
Jaribu pia kutembelea Green Hill Primary School. Wapo usawa was Pugu Kajiungeni maeneo ya kirumba . Secondary pia ipo jirani maeneo hayo.
 
Mulimila dole

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Messages
223
Likes
242
Points
60
Mulimila dole

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2016
223 242 60
Green hill is the best. Pitia hata matokeo yake. Mimi naishi Jirani na hiyo shule sina personal interest . wana magari ya kutosha kila route imeanza zaidi ya miaka 10. Na INA secondary school pia inaotwa main gree hill waweza kunitafuta kwa ufahamu zaidi 0656136607
 
Y

yohana Mahenge

New Member
Joined
Nov 16, 2017
Messages
3
Likes
0
Points
3
Y

yohana Mahenge

New Member
Joined Nov 16, 2017
3 0 3
Mlete Mtuki Highland, shule mpya ambayo inafanya vizuri ktk Klasta ya Chanika. Shule ipo Buyuni-Taliani.Ina mazingira mazuri, usafir wa uhakika na mtoto anafatwa nyumbani. Piga 0621 266 340.
Nalusiwa kutuma maombi ya kaz?
 
Ngondombole

Ngondombole

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
649
Likes
40
Points
45
Ngondombole

Ngondombole

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
649 40 45
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika.

Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na usafiri wa kumchukua nyumbani na kumrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto na kuwaacha wabebwe na pikipiki..

Na shule iwe na record nzuri ya kufaulisha ...ada na matumizi yote isizidi 3m kwa mwaka.
Mkuu ulipata shule..??
Nataka nijue maana na mimi nahamia buyuni next month nahitaji shule yenye sifa kama ulizozisema. Nijibu tafadhali
 
Deadbody

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
3,728
Likes
5,218
Points
280
Deadbody

Deadbody

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
3,728 5,218 280
Mkuu mimi mkazi wa Goms nakushauri umpeleke Masaka
 
Forum statistics

Threads 1,235,612
Members 474,678
Posts 29,228,660