Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wakuu Naombeni msaada mwenye softcopy ya report/vitabu tajwa hapo juu vinavyotolewa na Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namba kujuzwa tafadhari kama mtu kasoma diploma in general agriculture anaweza akasoma bachelor ya human nutrition?
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Habari zenu wanajamii forums Jamani naomba kuliza Naomba munisaidie chuo cha udaktari ambacho kinapatikana kigamboni au kilicho karibu na hapa. Kwa anaejua tafadhali anieambie.
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Habarini wqna JF, namba mnisaidie theisis ya desertation, kwenye maswala ya web designing.
0 Reactions
4 Replies
921 Views
RC wa mkoa wa Lindi amefanya mkutano huo katika chuo cha ualimu cha Nachingwea Amesema kuwa mkoa wake huo umeendelea kufanya vibaya kwa kushika nafasi ya 26 kati ya 31 ya mikoa ya Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Giza nene lazidi kutanda kwa wahitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji mwaka 2017,Utata huo unatokana na uongozi wa chuo kushindwa kutoa majibu ya uhakika na kupigwa danadana ndefu juu ya utoaji...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nataka kufanya mtihani wa form six private candidate Nina C English in language,C kiswahili,C literature in English, D civics,D biology, F geography,F history, F math.nitasajiliwa?
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Hello JF, Swala la elimu bure limekua na changamoto zake, watu wamekua wengi na sidhani hii kitu ita last. Leo ningependa kuona mfumo wa kusoma unakua expanded, Serikali I invest kuwasomesha...
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Hivi course unayosoma au kazi unayofanya ndo hiyo uliyokua unaipenda tangu ukiwa mdogo ????
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajanvi, Naombeni kujuzwa kuhusu chuo cha VETA Shinyanga je wanatoa course za uendeshaji mitambo ya ujenzi zinatolewa pale kama grader au bulldozer, dumper, front loader. Naombeni mnijuze...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Wakuu kwema? Nataka kufanya MBA kwa distance learning kutoka vyuo vya nje ya nchi hasa napendelea vyuo kutoka nchi za uingereza,marekani na south Africa. Naomba kufahamishwa vyuo husika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna jamaa huwa wanadai kuwa CPA inabana vibaya na vijana wanalia,wakati MBA mambo ni laini kabisa.Binafsi sina hoja maana ninavyofahamu moja ni professional na nyingine ni academics zaidi.
0 Reactions
49 Replies
16K Views
Leo katika Historia... Siku ya tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1965 Ni siku aliyeuawa mwanaharakati Mashuhuri duniani wa kupigania haki za watu weusi(akina sisi).. Malcolm X, kwa kupigwa risasi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za muda huu. Je naweza kujiunga na chuo kingine katika kozi ya Diploma In Computer science kwa kutumia Score Sheet za kila semester niliyopata katika chuo kingine? Kikubwa ninachohitaji...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
habari zenu wakuu.. .. poleni kwa mihangaiko yenu ya hapa na pale, pia napenda kuwapa pole wale wenzangu wooote waliokosa mikopo! wakuu, naomba kufahamu ni vyuo gani vizuri kwa mkoa wa dar es...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
I Yujinah an applicant student for MSc at University of Antwerp in Belgium. Here I'm seeking for your help b'coz kuna vitu vichache vinanichanganya hasa kuhusu legalisation ya documents zng ili...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2014 na matokeo yangu ni kama ifuatavyo 1. Civics - E 2. History - E 3. Geography - D 4. kiswahili - D 5. English - D 6. Biology - E 7. Mathematics - F 8...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwa yeyote anaejua, Naomba msaada wa kufahamu vyuo vya private vinachukua hadi GPA ya ngapi kwa wale wenye PASS ? Maana yake ni kwamba. GPA ya mwisho kuchkuliwa kwa vyuo vya private na ngapi ?
0 Reactions
19 Replies
36K Views
Shule za watoto wenye mahitaji maalum Tanzania ni nyingi, ila zina uhaba mkubwa wa waalimu wabobezi. Zifuatazo ni faida za kuwa mwalimu wa special needs education:- 1. Ajira niyakufikia, ie zipo...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
=========== Fuatilia zaidi hapa: =>Africa | Ranking Web of Universities
0 Reactions
116 Replies
16K Views
Back
Top Bottom