Wana JF Naombeni mpitie hapa kwa msaada zaidi

king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
Habarini wana jf ,

Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili;

1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke

2. Sababu za kifamilia ziliongeza changamoto kutohudhulia shule kwa muda mrefu , jana amenieleza mwenyewe kuwa ana nia ya kurudi shule na anajua ni wapi kwa upande wake alikosea anataka kurudi shule lakini kipato chetu hakiruhusu kumpeleka hata kwa mwl ampigishe pindi NAULIZA KAMA KUNA VIPINDI VYA VIDEO(CD) VYA WALIM WA KI TZ AMBAVYO NAWEZA PATA ILI AWE ANASOMA TARATIBU ILI TUSIPOTEZE MUDA mpaka tutakapo pata hela ya kulipia kituo nk, nawasilisha.
 
kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
1,762
2,000
mkuu... elimu ipo tu. sidhani kama atapata elimu kwa hzo CD unazodai atanufaika vzr, kama hapo awali ya darasani ilimshinda.

nakushauri mtafutieni shughuli nyinginezo za ujasiriamali huku akiendelea kupata kipato kitakachomwezesha kukidhi mahitaji yake, baadae atakuja kusoma tu mambo yakiwa njema.. all the best.
 
king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
Mfumo wa Elimu kwa sasa ni mgumu sana...
Mtafutie shule ya Private aanze kidato cha kwanza.
sawa ila nataka aanze kidato cha 2 lakin kwa sasa bdo hatuna ela ya kumpeleka private ndo mana tunataka kuanza kusomea nyumbani through video taratibu kuepuka kupoteza mda
 
king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
mkuu... elimu ipo tu. sidhani kama atapata elimu kwa hzo CD unazodai atanufaika vzr, kama hapo awali ya darasani ilimshinda.

nakushauri mtafutieni shughuli nyinginezo za ujasiriamali huku akiendelea kupata kipato kitakachomwezesha kukidhi mahitaji yake, baadae atakuja kusoma tu mambo yakiwa njema.. all the best.
Thanks ,
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,575
2,000
Habarini wana jf ,

Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili;

1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke

2. Sababu za kifamilia ziliongeza changamoto kutohudhulia shule kwa muda mrefu , jana amenieleza mwenyewe kuwa ana nia ya kurudi shule na anajua ni wapi kwa upande wake alikosea anataka kurudi shule lakini kipato chetu hakiruhusu kumpeleka hata kwa mwl ampigishe pindi NAULIZA KAMA KUNA VIPINDI VYA VIDEO(CD) VYA WALIM WA KI TZ AMBAVYO NAWEZA PATA ILI AWE ANASOMA TARATIBU ILI TUSIPOTEZE MUDA mpaka tutakapo pata hela ya kulipia kituo nk, nawasilisha.
Una nia nzuri ila sidhani kma tutorial za CD zitamsaidia kujifunza vyema kumbuka tutorial inaflow tu huwa tofauti na mwalimu wa kawaida mbaye utamuomba arudie kukuelewesha jambo flani linalokutatiza

Ni mara kumi utafute hata mwanafunzi hapo jirani au ndugu akitoka shule au hta weekend awe anampa mbili tatu kuhusu topic mbalimbali za sekondari yaani hyo gharama ya kununulia CD ni heri mkampa huyo mwanafunzi atakayekuwa anakuja kumfundisha itakuwa motisha pia maana ni rahisi kufundishwa uso kwa uso maana hta usipoelewa una nafasi ya kuuliza na kueleweshwa ila kwa tutorial inahitaji akili iliyochangamka sana

Huo ndio ushauri wangu
 
absamb

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
541
500
Afanye kazi kutafuta hela kwanza.. aje ajiendelezee,kusoma kupo tu..
 
king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
Una nia nzuri ila sidhani kma tutorial za CD zitamsaidia kujifunza vyema kumbuka tutorial inaflow tu huwa tofauti na mwalimu wa kawaida mbaye utamuomba arudie kukuelewesha jambo flani linalokutatiza

Ni mara kumi utafute hata mwanafunzi hapo jirani au ndugu akitoka shule au hta weekend awe anampa mbili tatu kuhusu topic mbalimbali za sekondari yaani hyo gharama ya kununulia CD ni heri mkampa huyo mwanafunzi atakayekuwa anakuja kumfundisha itakuwa motisha pia maana ni rahisi kufundishwa uso kwa uso maana hta usipoelewa una nafasi ya kuuliza na kueleweshwa ila kwa tutorial inahitaji akili iliyochangamka sana

Huo ndio ushauri wangu
asante kwa ushauli
 
Arnold Amos

Member
Nov 11, 2014
45
125
Vyema sana, penye nia pana njia. Kama ameonyesha nia ya kusoma yeye mwenyewe ni sahihi na pia umesema vizuri mnataka CD ili msiendelee kupoteza muda na mimi nitakuongezea sababu nyingine kuwa ni ili mdogo wako asikate tamaa na kupoteza morali ya shule.
Sasa basi nakushauti hivi. Kama kweli ana nia na wewe pia uko na nia hiyo basi mnaweza enda kwa walimu hawa wa tuition ambayo mngependa aende kisha mkazungumza nao juu ya hali yenu, kwakuwa sisi wa Tanzania ni wakarimu na wasikivu, am sure watakusikiliza na kuweza kufikia makubaliano.
Mimi ningemshauri afanye QT ambayo ina the same effect as regular school maana vyeti vyao vinatambulika kiserikali kabisa na hatutumia muda mwingi sana shule hivyo hatachoka. QT ada zao sio kubwa na hata kama kwenu bado inaonekana kubwa basi jua ni miaka miwili tu then unakuwa umemalizana nayo. Mkifanikiwa tafadhali umsimamie na kumkumbusha kuwa kusoma ni muhimu na asisahau alipotoka.
Mwisho kabisa msiache kumtanguliza Mungu maana yeye ni mwanzo na tena mwisho.
#Alpha_na_Omega.
 
king suleman

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
1,681
2,000
Arnold Amos nashukulu kwa ushauli wko kuhusu qt alitaka kwenda mi nikakataa nikijua haina maana kumbe inatambulika ngoja j3 nifanye utaratibu angalau awe ana hudhulia na muda bado upo , thump up
 
Arnold Amos

Member
Nov 11, 2014
45
125
Arnold Amos nashukulu kwa ushauli wko kuhusu qt alitaka kwenda mi nikakataa nikijua haina maana kumbe inatambulika ngoja j3 nifanye utaratibu angalau awe ana hudhulia na muda bado upo , thump up
Mungu awatangulie. Cha muhimu pata sehemu ya QT ambayo iko registeted na inatumbulika. Ikibdi uliza kabisa watu wa kwenye hiyo center ukienda for consultation.
 
Kijana matata

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
558
500
Habarini wana jf ,

Ninamdogo wangu alimaliza o level miaka mi nne iliopita na hakufaulu kutokana na sababu mbili;

1. Yeye hakua na juhudi na hakua anajua anasoma ili iweke

2. Sababu za kifamilia ziliongeza changamoto kutohudhulia shule kwa muda mrefu , jana amenieleza mwenyewe kuwa ana nia ya kurudi shule na anajua ni wapi kwa upande wake alikosea anataka kurudi shule lakini kipato chetu hakiruhusu kumpeleka hata kwa mwl ampigishe pindi NAULIZA KAMA KUNA VIPINDI VYA VIDEO(CD) VYA WALIM WA KI TZ AMBAVYO NAWEZA PATA ILI AWE ANASOMA TARATIBU ILI TUSIPOTEZE MUDA mpaka tutakapo pata hela ya kulipia kituo nk, nawasilisha.
Mkuu njoo pm nitakusaidia sana juu ya mdogo wako!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom