Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wamepata mwongozo mpya unao onyesha kwamba,watasoma ngazi ya cheti badala ya stashahada Hivyo watatakiwa kusoma kwa muda wa miaka 2 tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Elimu tunaomba muongozo kuna shule binafsi zinafukuza kwa kushindwa kulipa ada yote hata mtu akilipa robo tatu ya ada anayotakiwa kulipa wanafukuza wanafunzi Mfano Efatha seminary.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi,naomba kufahamishwa shule za advance za private(boarding) zilizopo mkoa wa dar zenye ada isio zidi milioni 2,please msaada wenu waungwana.
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka niende chuo kusomea diploma ya clinical officer naombeni ushauri kuhusu ajira na mshahara uko vip kwa sasa. Thanks.
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Chuo Kikuu cha Manchester kimetoa nafasi za masomo kwa wanafunzi kutoka nchi kadhaa za Afrika na Tanzania ikiwamo ============================================================ Dear all , The...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Imenibidi niamie chumba kingine baada ya kusikia kelele chumbani ninakolala.chumba ninacholala kina taa mijusi ile myeupe upenda taa ikila wadudu wanaouluka katika taa katika utafuji wao chakula...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu salaam, kwa yeyote mwenye vitabu ntakavyo violozesha hapa chini naviomba: 1. An Introduction to C++ and Numerical Methods 1st Edition by James M. Ortega Andrew S. Grimshaw (Author) 2...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
hellow jaman, naomben msaada wenu ni njia gan au ni utaratibu upi wanaoutumia nacte kufanya udaili wa wanaafunzi kwa mwaka wa masomo 2018/2019,kwa ngazi ya cheti na diploma?? Na pia lini mwisho...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Jaman naomba msaada anaefahamu chuo, taasisi ambayo wanaweza kutoa advanced training course competently ....anijuze Ikave kuanzia functions,macros, Visual basic applications n.k
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Habari za muda huu wanajukwaa wote vp wikiendi inakwendaje? ebuana nina mdogo wangu kamaliza sekondari kidato cha nne 2014 sasa kutokana na matokeo yake yaani combination inbalance hakufanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dhumuni kubwa la uzi huu ni kuuelezea umma kuwa Mimi ni miongoni mwa walimu bora mwenye mchango mkubwa kwa wanafunzi wasomao somo la history. Nimewasaidia wengi na matokeo yao yalikuwa makubwa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
MATOKEO YA KIKAO CHA MAJADILIANO KATI YA CHAKAMWATA, CWT, MKURUGENZI WA MANISPAA YA ILALA, KAMISHNA WA KAZI NA MWANASHERIA WA MSAJILI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KILICHOKAA TAREHE 10/04/2018. Kikao...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM).vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha.
1 Reactions
23 Replies
14K Views
Jamani jana niliomba kama kuna mtu anfahamu procedure ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza aniambie kwa mtu mwenye 28 ya f4
0 Reactions
13 Replies
37K Views
JE UNA ASSETS AMA LIABILITIES? [emoji888] Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo. [emoji888] Liability ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako. [emoji1542]Ukitaka...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Naomba huu ujumbe uwafikie menejimenti ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi , NBAA. Yahusu ucheleweshwaji wa matokeo ya mtihani wa Novemba 2017. Kwanza kabisa hajawahi tokea kwa bodi kichelewesha...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Diploma hii inaajira serikalini?na VIP kuusu mishaara yao.tujuzane wataalamu wa afya .
0 Reactions
14 Replies
5K Views
habari zenu wadau naomba kuuliza kwa anayefahamu hiv mtu ukisup chuo inakuaje kuhusu mkopo wako je unaendelea kupata au la? na pia uki carry mkopo unapata au la?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, mimi natarajia kufanya application NACTE kwa mwaka 2018/19 ila nahitaji ushauri kati ya hizo ipi nzuri kwa soko la ajira maana sina mtaji wa kuweza kujiajiri maana ninasifa za...
0 Reactions
41 Replies
16K Views
Back
Top Bottom