Wizara ya Elimu tunaomba muongozo kuna shule binafsi zinafukuza kwa kushindwa kulipa ada yote hata mtu akilipa robo tatu ya ada anayotakiwa kulipa wanafukuza wanafunzi Mfano Efatha seminary.
Shule binafsi hujiendesha kwa ada unayolipa, hivyo kama malipo hayajatimia ina wawia vigumu kutoa huduma. Angalia sheria za shule zinasemaje kuhusu ada, vinginevyo uingie makubaliano na mkuu wa shule kama wana ruhusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.