Namna ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza

moseskwaslema

Member
May 3, 2012
92
13
Jamani jana niliomba kama kuna mtu anfahamu procedure ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza aniambie kwa mtu mwenye 28 ya f4
 
Upo mkoa gani nikusaidie nikuelekeze cha kufanya?

Taratibu ni za zile zile za kawaida, unaandika barua ya maombi ya kazi inaambatana na vyeti vyako ambavyo vitakuwa ni vivuli.

Ukimaliza unaipeleka kituo chochotw cha Polisi/Magereza kisha hapo utapata maelekezo sahihi ya kufuata.
 
Upo mkoa gani nikusaidie nikuelekeze cha kufanya?

Taratibu ni za zile zile za kawaida, unaandika barua ya maombi ya kazi inaambatana na vyeti vyako ambavyo vitakuwa ni vivuli.

Ukimaliza unaipeleka kituo chochotw cha Polisi/Magereza kisha hapo utapata maelekezo sahihi ya kufuata.
 
rudia mtiani four 28 hawachukui huu ndiyo ukweli kingine usikate tamaa ya maisha mapema sawa wewe pambana ukiwa mtu wakufanya maamuzi mapema basi hata ukienda uko jeshini bado utakata tamaa nakutaka urhisishe maisha so wewe rudi shule
 
Kama upo Arusha, fanya kwenda pale jengo lenye ofisi za Elimu, Magereza wako kwenye ofisi ya Mgambo wa Wilaya wanafanya processing ya applicants
 
ofcoursaweza yes nipo arusha hebu watanzania mnielekeze vizuri ili niweze kumsaidia huyu dogo,hv nawezakuaply kabla sijasikia matangazo ya application? watanzania mnisaidie
 
Kanunue cheti cha aliefariki,
Karenew cheti chako cha kuzaliwa kwa jina linaloonekana ktk vyeti feki utakavyonunua, then njoo tujiunge jeshini kaka
 
jamani jana niliomba kama kuna mtu anfahamu procedure ya kujiunga na jeshi la polisi au magereza aniambie kwa mtu mwenye 28 ya f4

polisi wamejikita kuajiri form vi, subiri wakitangaza tutakujuza. Ila angalia usiwe umeiba/unatumia cheti cha ndugu yako, nida wako kazini
 
Cha msingi uwe mtoto au ndugu wa karibu wa askari mwenye cheo kikubwa au hata cha kati!
 
Habar zenu waungwana,nauliza kwa ss tuliopo dar es salaam tunapeleka wap maomb yetu baada ya kuandika barua za kuombea kujiunga na jeshi la police?
 
Jamani mbona tunadanganyana ?
na nimekuta matangazo kibao eti Polisi wanatangaza nafasi za masomo
Hebu tuelezane ukweli wale waliomaliza JKT awamu ya Kikwete na Magufuli ndio waliopewa nafasi zaidi ya kwenda kusoma na kuajiriwa askari wasiopungua 1,500 baada ya kwenda chuo Moshi CCP
kwa Magereza sijui kwa kweli
ila POLISI navyojua hapo awali ni lazima upitie kwa Mtendaji wako wa Kata halafu kwa Mshauri wa Mgambo wa Wilaya ndipo akuidhinishe
 
Back
Top Bottom