Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wadau. Mimi nina shahada ya ya kwanza ya PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. Nahitaji kuendelea na masomo,nimepata taarifa kuwa hapa dsm kuna chuo posta kinaitwa Tanzania Institute of Project...
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Nina elimu yangu ni kidato cha nne nimepata division four ya 27 Book_keeping-D Commerce-D English-D Geography-D History-D Kiswahili-C Islamic-D Basic mathematics-D Biology-F ●NAOMBENI USHAURI...
1 Reactions
37 Replies
13K Views
Napenda kwa wale wanaojua maana ya jina hili la huyu Mh.rais wa jamhur ya kidemocrasia ya watu wa congo na historia yake toka mwanzo wa urais wake na misuguano kati yake na mwanamuzi na gwiji wa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi...
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Wapendwa wana jf naomba kwa anayeifaham shule ya Cornerstone Leadership Academy kuhusu vigezo vya kujiunga na hiyo shule alafu na mengineyo zaid naomba anijulishe Tafadhali kwan natamani niijue...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA RAISI 1.LAMECK KAMULI- 506 sawa na 38.1% 2.CHACHA KYARO -438 sawa na 32.9 3.GWAKISA A. MWAIPOPO 384 sawa na 28.9% Hongera nyingi kwake Lameck Kamuli
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanaJF... Naomba kufahamishwa maswali haya; 1. Hivi kwa mwanafunzi aliyepewa mkopo na bodi ya mikopo yaani 100% chuo kikuu, anakua na deni la jumla ya Tshs ngapi baada yakumaliza masomo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za asb wanajamvi nipo mbele yenu naomba kuuliza kwa dar ni wapi kuna chuo kizuri cha uandishi wa habari na utangazaji tv & radio broadcast na je ada zipoje mkuu pia khsu field pia kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza mm ni mwalimu sekondari nataka kuhamia primary nifanyeje?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau. Naomba niulize kuna taarifa zinazagaa vyuoni. Kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 na kujiunga na March intake 2016 hawataruhusiwa kuingia bachelor mwaka 2018/2019 .Naomba majibu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wana JF, kuna questionnaire nimeandaa kuhusu afya na huduma zitolewazo kwenye afya ya magonjwa ya akili. Nisaidieni kujaza hii questionnaire, kwa kuclick kwenye link hiyo chini, ili...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
Lyamungo inachukua pointi ngapi kwenye kombi ya PCB.na lazima uwe na division ngapi.ili waweze kukuchagua
0 Reactions
0 Replies
978 Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA, TAREHE 25 NOVEMBA, 2010 Mhe. Benjamin William...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nilihitimu Form six mwaka 2014 katika shule ya ufundi IFUNDA ( IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL). Sasa kutokana na muda na ratiba kubana baada ya kuingia chuo, nilikuja kujua kuwa hiyo shule...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Download app ya thl na upate notes za o level na advance free wametoa ofa ya one month bure kutumia #Power to you
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Jisomee kozi mbalimbali kwa njia ya mtandao na upate cheti. Tembelea Home kisha angalia ukurasa wa Education
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Diploma gani naweza kwenda kusomea kwa upande wa health au engeniaring ikiwa Nina division 3 ya 23? Na nina C ya physics na biology. D ya maths na chemistry
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nisaidien jaman soko la ajira yake,, na inahusu nini hasa na vigezo kujiunga equivalent qualification. Asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu vuta picha, namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule ya msingi. Umepiga jaramba maili...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
nianze kwa swali dogo? Mwana fasihi ni nani? je ni kweli Mwanafasihi ni mtu wa kwanza kuumbwa na mwenyezi Mungu ili apate kuwatumia kuujuza ulimwengu? Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu nilipata...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom