Wanajamvi habari za jioni napenda kupata kiini cha migogoro hasa shule za sekondari zenye walimu wa kike na kiume na unakuta mwalimu anapokuona umeteleza mahali anatumia hayo madhaifu yako...
Kumekuwa na mazoea ambayo kila mgombea URais wa chama flan anakuwa na kauli mbiu yake hii si mbaya lakin kumekuwa na kosa kubwa ambalo kamwe hatuwezi kusonga mbele tunashindwa kuwa na muendelezo...
Mwezi wa kwanza hadi wa tatu, ulitolewa waraka wa kuamisha walimu wa masomo ya Sanaa baadhi toka shule za sekondari kwenda shule za msingi Tanzania yote.
Agizo hilo lilitekelezwa na wakurugenzi...
Habarini wana JF wenzangu...
Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology...
Wakuu, habari za majukumu.
Naombeni msaada wa maelekezo jinsi ya kujisajili NACTE na kufanya Application ya chuo kwa intake ya March/April. Nahitaji kuomba nafasi ya Diploma 2018/2019 kozi ya...
Salaam wadau, natafuta kitabu cha joel osteen , blessed in the darkness, wapi naweza kipata hiki kitabu. hata kwa msaada wa kunilete nilipo dar , mi mgeni kidogo. nitakutoa gharama zako. thanks...
Nina mtoto wa dada yangu anasoma HKL form five..anataka kujua vitabu gani vya kiswahili na language(literature) ambavyo ni virahisi akisoma akafaulu?? Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.