Imenibidi niamie chumba kingine baada ya kusikia kelele chumbani ninakolala.chumba ninacholala kina taa mijusi ile myeupe upenda taa ikila wadudu wanaouluka katika taa katika utafuji wao chakula hupinda mkia upindaji huo usababisha kelele.kelele za Leo ni tofauti na nilizozizoea Leo zinakuw za mda mrefu sielewi ni mjusi au nyoka