Pharmaceutical sciences Muhimbili institution of health sciences 2017/2018

Ghulaam

JF-Expert Member
May 10, 2016
1,562
2,000
Ndio kozi zote wakat wa jk aliwaaajiri kuanzia cheti diploma mpaka degree kuanzia mwaka 2016 ndio bado sijasikia kuajiriwa watu
 

azimio ernest

Member
Jun 6, 2017
45
95
Ajira zipo, hao watu kuanzia certificate mpaka degree ni muhimu sana kwenye hospitals japokuwa serikali yetu kwa kupenda dezo wanaweza ajiri nurses ili wasilipe mishahara mikubwa.


Kwa certificate ni kama 380,000 baada ya makato yote
Kwa Diploma ni kama 550,000 baada ya makato yote

Uzuri wa hyo kozi semina ni nyingi na kila semina huwezi kosa 80,000tsh na unaweza pata semina mbili kwa mwezi zenye jumla ya siku zaidi ya 7,
7 x 80000= 650,000

Na pia ni rahisi kujiajiri tofauti na kozi nyingine. Take it hautajutia.
Nashkuru mkuu nadhani hiyo itakua nikama spirituality kwa mm kwenda kusoma diploma ya pharmacy
 

Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,639
2,000
Kasome lab, pharmacy utajira tu mkuu, kalaghabao nyingi

Mimi huwa napenda mtu akikosoa kitu anaelezea kwa kina kwanini anadhani lab. ni nzuri kuliko pharmacy, kama Great Thinker kweli

Sasa hapa umemsaidia nini mleta sredi?Kalaghabao ni nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom