looking for a College that runs 3D animation course in tanzania

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM).vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha.
 
Mkuu tembelea maeneo ya Upanga opposite na makao makuu ya Jeshi kuna chuo kinaitwa MediaOne Productions anaKirun mtu mmoja anaitwa Anaeli Kihunrwa na kipo 4 like the last five years kinaTrain 3d Animation, Motion graphics nk .. Cheki nao hope itasaidia..
 
Kaka acha kupoteza Muda wewe kwenda kwenye vyuo uchwara...Sasa hv watu wametoka kwenye 3D wako kwenye MAYAR ni zaidi ya 3D...Kichange nenda India wanatisha balaa.
 
Mzee wa njaa kweli una njaa mzee. Kwanza naona umepotea njia mkuu naona unahisi unajua kumbe mweupe ka sembe la azam. Kama hujui uliza sio unashambulia, moja elewa Maya( na sio MAYAR kama ulivyoandika na kiingereza chako cha saint kayumba) ni software ya 3D hivyo umekurupuka, pili hujawahi kuona wala kutembelea chuo cha MediaOne hivyo hujui kinachoendelea pale umebaki na mawazo yako mgando ya kukimbilia India, sikatai kuhusu India wako vizuri lakini itakuwa kazi bure kama una kichwa kibovu kama chako kwenda kusoma india utarudi uko vilevile. Animation its creativity kama hujazaliwa nayo utasoma kila chuo duniani utaishia kujua kutumia software tu. Kuna vingine vinafanyika bongo hivyo toka pangoni utauona mwanga...
 
mkuu kuna mahali nimeona kitu cha 4D....hiki kinaweza kuwaje....?
 
Nenda DIT mwanatoa hiyo course

Kweli kabisa mkuu DIT wanafundisha 3D lakini mwisho wa siku ni kichwa chako tu maana ubunifu ni mtu mwenyewe na kamwe hautafutwi shuleni. Nimesema MediaOne sababu ndo watu pekee waloweza kutengeneza filamu za watoto za 3D kwa waliokuwepo tamasha la ZIFF mwaka huu waliona kazi and its not bad for a start..
 
mkuu kuna mahali nimeona kitu cha 4D....hiki kinaweza kuwaje....?

Mkuu in animation 4D doesn't exist there only 3 dimensions in 3d ndo maana inaitwa 3d thts Y,Z and X axis . 4d haipatikani ndani ya animation software 4D ni kionjo tu wanavyoongeza ndani ya movie theatres ukiwaunaangalia movie kama moshi, vibrating seats nk
 
wanajukwaa mtu anapokosea ni jambo la kumsaidia na wala siyo kejeli na lugha zisizo jenga tuwe wapole kwa mambo madomadogo
 
hii thread nilii2pia kitambo kidogo wa2 wakaisusa.sasa naona mnachangia .nafarjika sana wadau.endeleen ku2juza.
 
we provide the following courses

(1)3d animation with autodesk maya,adobe photoshop,autodesk 3ds max,pixologic zbrush
(2)vfx with adobe after effects,wondertouch particle illusion,autodesk maya,3ds max
(3)compositing with autodesk toxik,ayeon fusion,adobe after effects
 
we provide the following courses

(1)3d animation with autodesk maya,adobe photoshop,autodesk 3ds max,pixologic zbrush
(2)vfx with adobe after effects,wondertouch particle illusion,autodesk maya,3ds max
(3)compositing with autodesk toxik,ayeon fusion,adobe after effects .contact us on 0659522469
 
Please inbox me the details on the physical address and your fees.
 
Contact us on that number shown,

and come and collects the course contents, fees is by installments and affordable
 
Our class is one to one, easy to understand, our trainer will deals with you to make sure you understand
come and collect our bronchue
thanks
 
we provide the following courses

(1)3d animation with autodesk maya,adobe photoshop,autodesk 3ds max,pixologic zbrush
(2)vfx with adobe after effects,wondertouch particle illusion,autodesk maya,3ds max
(3)compositing with autodesk toxik,ayeon fusion,adobe after effects .contact us on 0659522469
 
Mzee wa njaa kweli una njaa mzee. Kwanza naona umepotea njia mkuu naona unahisi unajua kumbe mweupe ka sembe la azam. Kama hujui uliza sio unashambulia, moja elewa Maya( na sio MAYAR kama ulivyoandika na kiingereza chako cha saint kayumba) ni software ya 3D hivyo umekurupuka, pili hujawahi kuona wala kutembelea chuo cha MediaOne hivyo hujui kinachoendelea pale umebaki na mawazo yako mgando ya kukimbilia India, sikatai kuhusu India wako vizuri lakini itakuwa kazi bure kama una kichwa kibovu kama chako kwenda kusoma india utarudi uko vilevile. Animation its creativity kama hujazaliwa nayo utasoma kila chuo duniani utaishia kujua kutumia software tu. Kuna vingine vinafanyika bongo hivyo toka pangoni utauona mwanga...
mwambie huyo.
 
Back
Top Bottom