Nataka kuwa doctor naombeni ushauri

Nataka kuwa doctor naombeni ushauri

Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka niende chuo kusomea diploma ya clinical officer naombeni ushauri kuhusu ajira na mshahara uko vip kwa sasa.

Thanks.
Clinical Officer hajawa daktari bado...chapa book sana.
 
Oky thankx ila lazima uwe na mipango ya baadae sio kufuta ujinga tu
 
unataka kusoma clinical officer,me naona ungesubiri matokeo yatoke utajua utaenda wap vile vile just pray nacte wakuchague mapema kwa maana mwak jana kilikuwa kivumbi watu wame apply had mara mbili na bado wakachemka...Vile vile unaweza kusoma na ukafanya kazi nyingine kwa mfano me nimesoma human resource <degree>ila saivi ni dereva na maisha yanaendelea ukisoma kwa sababu ya kuwazia mshahara utachemka
 
Soma kwasababu unapenda masomo hayo na una uwezo nayo na pia kusaidia watu kuwe ni wito wako.
Ukianza utakuwa mwanafunzi au officer wa chini, hivyo huambatana na kufanya kazi usiku pia weekend.

Ukiyaweza haya utaenjoy pesa ni matokeo.
 
Back
Top Bottom