Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za majukumu wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni mnisaidie link ya kupakuwa dictionary yenye pronunciation (matamshi) ya AmE na BrE. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
9 Replies
3K Views
PLEASE JAMAN NAOMBA KAMA HUNA CHA KUCOMENT UPITE KIMYA KIMYA MAANA HATEFUL COMMENTS ZITANIUMIZA. Wadau wa jf mimi ni kijana nnae malizia masomo yangu ya diploma miezi miwili ijayo, ninapenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta shule nzuri kwa ajili ya mtoto wa miaka mitatu...iwe day na yenye usafiri! Ahsante
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman naomben msaada kwa anaejua processes zote za Ku apply na lini naruhusiwa Ku apply pamoja na deadline ya Ku apply kwa mwaka 2018 anisaidie. Nataka kusoma diploma ya Clinical medicine kweny...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta watu waliosoma Ifunda Technical. Secondary school, tuongee mambo yetu kidogo, yani tukumbuke Lyandembela, Kaguo Vizibo, Per T, Kuuzoa, Serengeti, Mazengo hall, n.k na kadhalika
2 Reactions
43 Replies
11K Views
Shule za binafsi zilikuwa na utaratibu wa kuendeshwa kwa mihula mitatu yaani January - March; April /Masika wanakuwa likikizo; May -July; August / Vuli wanakuwa likizo, September - November...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Country: China Bachelor Taught in English : 1. Computer Science & Technology 2. Bio-Medical Science 3. International Trade and Economics 4. Tourism Management After Scholarship Need to Pay...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Mkuu wa mkoa wa simyu ,Mtaka kuanzisha shule kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalum ambayo itaitwa SIMIYU boys na SIMIYU girls,ambazo zitaungana na shule kama...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Enzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa. Mwaka 1986 pale Mbata pr school Mbeya kulikuwa na Mwl dada mmoja Peter naye alikua akichapa balaaa. Sema alikua na umbo na tako zuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naweza pata wapi course ya TYPING kwa hapa Dar ? Ili niweze kujifunza TYPING
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa Nahitaji kujua yafuatayo 1. Je, kuna uwezekano wa kusoma master pasipo kupitia degree ya kwanza katika ulimwengu wa sasa wa kielimu na kama ndio Je nivigezo gani ambavyo vinahusika...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Habarini? Nataka msaada wa link za vyuo vya nje ili niweze kupata online degree ya law or business au masters. Nipo kikazi mkoani na nafikiri ntakaa muda huku ,hivyo mwenye uwezo wa kunipa hata...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ugumu wa Maisha ni fundisho kwa waliozipata wakazichezea. PAMBANA NA HALI YAKO © Jackson94
0 Reactions
7 Replies
6K Views
HABARI ZENU WAKUU... Napenda Kuwauunganisha Form 4 wanaopenda kwenda chuo moja kwa moja, Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi zilizo kwenye soko kwa karne hii. Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza,,,,,, Karibuni wanavyuo wote wa Tanzania tuweze kupeana updates na kubadilishana mawazo juu ya maswala mbali mbali..... Karibuni
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu mm ni mwanafunzi ninaetarajia kwenda kusoma masomo ya clinical offecer ne ni mashirika yap ua wanaweza wakanisapoti juu ya ili ata kwa kukimu ada tu.[emoji122] [emoji122]
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Naombeni msaada, Natafuta shule inayofanya vizuri hasa matokeo ya A level hapa kwetu tz za serikali na watu binafsi
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni Nitashindwa kumudu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa sehem kinapopatika hapo arusha na kuhusu course zinazopatikana kwenye hichi chuo na website yao ili niwezejua ada zao
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…