Simiyu kuanzisha shule ya vipaji maalum

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
Mkuu wa mkoa wa simyu ,Mtaka kuanzisha shule kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalum ambayo itaitwa SIMIYU boys na SIMIYU girls,ambazo zitaungana na shule kama kibaha,mzumbe,ilboru,tabora(b),tabora(g),msalato na kilakala

Lengo la shule hizi ni kuongeza wigo mpana wa vijana ambao siku zote wanaonekana kuwa na vipaji lakini wanakosa nafasi ya kuvionyesha kutokana na ufinyu wa nafasi.

Hii yote ni kutekeleza Sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuwezesha vijana kielimu kwanza

Nawasilisha
 
Wanatakiwa wajipange ili hizo shule zitoe huduma zinazostahili kwa wanafunzi. Sio kwa kuwa ni vipaji basi unakuta hawapewi walimu wa kutosha, vifaa vya maabara na miundo mbinu nyingine.

All in all, tunamtakia kila la Kheri RC Mkata.
 
Huyu jamaa yupo vizuri sana ameweza kutengeneza kambi ya wanafunzinwa form six wa mkoa mzima kujiandaa na mitihani kakusanya walimu wote kumwaga material. Matokeo lazima yatakuw mazuri kama mwaka jana.
Tulinganishe na huyu anayekusanya wanaeake na watoto na sasa anataka kupima tezi dume majumbani.
 
Anthony mtaka ni RC bora, sema yupo kwenye mkoa usio na mapato mazuri Kama Bashite!

Bashite yeye hela ni nyingi pia wafadhili ni wengi daslam ya Bashite
Huyo jamaa ni jembe sana wakuu ni vile tu amepewa mkoa duni lkn anajitahidi balaa

Angepewa dar huyo RC ndio kweli pengine dar mpya ingewezekana.Kongole kwako
 
Anthony mtaka ni RC bora, sema yupo kwenye mkoa usio na mapato mazuri Kama Bashite!

Bashite yeye hela ni nyingi pia wafadhili ni wengi daslam ya Bashite

Bora Paulo aende Simiyu Na wa Simiyu aje Dar ili tuepukane Na Mambo ya Nyoso kwny tezi dume
 
Niulize wajuvi hivi hizi shule za vipaji maalum zinakuwa na tofauti gani ukilinganisha na hizi za kawaida hasa kwenye upande wa miundo mbinu ya kufundishia na walimu. Najua zinachukua wanafunzi ambao wako "vizuri" kichwani na labda zina ufaulu mzuri je kuna sifa nyingine za ziada?.
 
Yaliyoko huko ni aibu.
We acha tu.....
 
Hakuna tofauti.Kuna baadhi ya shule hizo zina hali mbaya kuliko hata hizo shule.Kwa mfano shule kama Oswald Mang'ombe ni nzuri kuliko special schools zote
 
Ahsanteni, sasa serikali ikisema shule fulani ni shule ya kipaji maalum-inakuwa na picha gani kuhusu hiyo shule (hata kama ukweli au uhalisia ni tofauti)?
 
Hakuna tofauti.Kuna baadhi ya shule hizo zina hali mbaya kuliko hata hizo shule.Kwa mfano shule kama Oswald Mang'ombe ni nzuri kuliko special schools zote
he he he he
Osald Mang'ombe tena??

Kesho nikipita kuelekea Buhemba nitakusalimu hapo kijiweni kwako.
 
Niulize wajuvi hivi hizi shule za vipaji maalum zinakuwa na tofauti gani ukilinganisha na hizi za kawaida hasa kwenye upande wa miundo mbinu ya kufundishia na walimu. Najua zinachukua wanafunzi ambao wako "vizuri" kichwani na labda zina ufaulu mzuri je kuna sifa nyingine za ziada?.
Vipaji maalum ilikuwa zamani na kwa lengo maalum. Hivi sasa ni wenye ufaulu mkubwa
 
Tatizo la Tanzania ni siasa sana. Akiondoka huyo atakuja mwingine na sera zake badala ya kuendeleza za mtangulizi wake
 
Back
Top Bottom