Natafuta ufadhili wa masomo

Natafuta ufadhili wa masomo

Lio tz

Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
71
Reaction score
26
Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni
Nitashindwa kumudu gharama za masomo kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia au kama unajua taasisi yoyote inayotoa mikopo kwa diploma naomba unisaidie ili nitimize lengo langu LA kua daktari wa jeshi naombeni msaada wenu na ushauri kwenu
Ufaulu wangu nikama ifuatavyo
Civics-c
History-c
Geography-c
Kiswahili-c
English-c
Physics-c
Chemistry-c
Biology-c
Mathematics-d
 
Usijar.....utapata msaada wa aina yoyote utakaokusaidia kwa namna moja au ingine....kuwa na subra
 
Sikufanikiwa kusoma nilipangiwa kigoma lugufu tukajaribu na wazazi kutafuta msaada wa nauli pamoja na mahitaji niwapo shuleni ikashindikana now npo home 2
 
Unaonaje ukiomba ufadhili wa kusoma A level maana kusoma clinical medicine kwenda degree ni kazi sana mpaka uwe na GPA ya 3.5. Halafu hayo mambo ya jeshi achana nayo mimi nilifikiri unasoma uwe bingwa wa magonjwa ya akina mama na watoto kumbe ni jeshi, kama ni jeshi jiunge nao wakusomeshe wenyewe.
 
Sawa kaka nashukuru kwa hiyo ya a level naweza kupata shule gani?
 
Back
Top Bottom