Lini natakiwa Ku apply kuptia NACTE?

Lini natakiwa Ku apply kuptia NACTE?

Jovinnydinho

Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
29
Reaction score
11
Jaman naomben msaada kwa anaejua processes zote za Ku apply na lini naruhusiwa Ku apply pamoja na deadline ya Ku apply kwa mwaka 2018 anisaidie.

Nataka kusoma diploma ya Clinical medicine kweny Chuo chochote cha serikali na ufaulu wangu wa o level Nina C masomo yote ispokua chemistry, biology na English ambayo Nina B
 
Sabab za kiuchumi broo.
Nlikua nasomeshwa na mdhamin ila anasema yy alikua ana watu wengine walokua wanashilikiana kunisomesha ila anadai wamebaki wawili tu. Ko nmeambiwa nitasomeshwa level moja tu baada ya hapa. Eitha niende Chuo af waachie apo au ni opt kwenda advance af waachie apo na kwakua vigezo vya kpewa mkopo pia naona sina, Naweza kukwama endapo Nita opt advance ko naona bola niende Chuo tu braza
 
mbona mzee wa kaya alishasema yupo kwa ajili ya wanyonge kama wewe.....sasa kulikoni ishindikane kwako??
 
ingia kwenye website ya nacte kila kitu kipo kule......hawafichi kitu habar zote utazipata
 
Habari za nacte zinanichanganya kna sehem wamesema et deadline ilkua 10th April wakat wengine wanasema wataanza mwez wa tano na deadline ni mwez w 7. Ko apo naxhindwa kuelew which is which
 
kuna namba zao za simu pale.....kijana kuwa mjanja......
 
Habari za nacte zinanichanganya kna sehem wamesema et deadline ilkua 10th April wakat wengine wanasema wataanza mwez wa tano na deadline ni mwez w 7. Ko apo naxhindwa kuelew which is which
Mwaka huu watakuwa na raundi mbili za kudahili, hii ya kwanza ndo imeisha April 10, 2018 na nyingine itafuatia ikiendana na majibu ya form 6. Hii round ya kwanza walikuwa hawaja jipanga vizuri kwa kiasi fulani wamekurupuka walianza kusema afya wasidahili halafu wakawaruhusu. Itabidi usubiri inayokuja fuatilia matangazo ya NACTE na JF.
 
Nashkur mzee
 
Habari za nacte zinanichanganya kna sehem wamesema et deadline ilkua 10th April wakat wengine wanasema wataanza mwez wa tano na deadline ni mwez w 7. Ko apo naxhindwa kuelew which is which
Vuta subra tu mkuu hiyo ya mwisho April Ilikuwa ni intake ya mwezi March mwezi wa 5 ndio wanafungua udahili
 
Subiri may kijana siku bado ni chache tu soon mambo yatajipa usiwe mbali na mtandao
 
Jaman naomben msaada kwa anaejua processes zote za Ku apply na lini naruhusiwa Ku apply pamoja na deadline ya Ku apply kwa mwaka 2018 anisaidie.

Nataka kusoma diploma ya Clinical medicine kweny Chuo chochote cha serikali na ufaulu wangu wa o level Nina C masomo yote ispokua chemistry, biology na English ambayo Nina B
Nimesoma comment yako baada ya huu uzi mimi nakushauri nenda advance ila kama utataka kusoma MD baada ya a.level vigezo vya mwaka jana ilikuwa C mbili na D moja yaan upate 60 kupanda juu masomo mawili na 50 kupanda juu somo moja ilakwa jambo lililo juu yako kwa sasa kaa na ufikirie maana naona umefaulu vizurii
 
Naamanisha kwamba kusoma udaktari kutokea form six kwa ufaulu mzuri naona kama haitochukua muda mpaka umalize shahada kama maonobhayo ya kuwa tabibu na huwezi jua baada ya kusoma kwako na kufaulu utaweza pata msaada au ufadhili wa masomo baada ya kidato cha sita
 
Tatzo nasomeshwa na sponsor ko yy ame prefer niende Chuo tu kwa sabab za Uchumi wake kwamba apo badae Naweza kukosa vgezo vya kpata mkopo baada ya advance na akaitajika kunilipia kiwango kikubwa cha pesa ambapo yy anadai inawezekana asiwe nazo kwa mda huo kulingana na fluctuations zake za Uchumi so, amenisistiza nichague coz yoyot nikasome anisaidie to archive one more level of education.

Ko sio m naependa kwenda CO kwasabab becoming MD ilkua ndoto yang tangu form 2 ila sna jinsi mkuu
 
Badii kasome dogoo utafikaa tuu
Usiwe na wasiwasi kote ni njia cha muhimu utimize ndoto yako
 
Back
Top Bottom