Looking for tyiping course in Dar

zigi 01

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
295
155
Naweza pata wapi course ya TYPING kwa hapa Dar ? Ili niweze kujifunza TYPING
 
Unataka cheti au unataka kujua typing?
Kama unataka cheti tafuta chuo usome,
Ila kama unataka kujua typing, kaa na computer yako, preferably desktop, download program inaitwa Mavis Beacon, anza nayo mazoezi, inafundisha kila kitu kuanzia namna ya kuweka vidole ktk keyboard hadi mazoezi ya kufanya,
Kumbuka, ukiwa chuo utakua uko committed, kuwa committed hivohivo hata ukiwa unajifundisha mwenyewe ktk hiyo program,
Mazoezi utayachagua mwenyewe, na unapimwa pia speed yako ya kutype
Kazi kwako
 
Mm sitaki cheti nataka kujua tu ! Ili niweze kufanya kazi zangu vizuri! Sina desktop so nafanyaje
 
chuo si lazima mavis becon ni suluhisho tena utajifunza kwa muda na ratiba yako.mimi najua kutype bila hata kuangalia kibodi kwa sababu ya mavis becon
ukihitaji kunajamaa anauza software ya mavis sh 5000 ninaweza kuongea naye akutumie software hiyo kwa whatsapp.
 
Naweza pata wapi course ya TYPING kwa hapa Dar ? Ili niweze kujifunza TYPING

Kwanini usijifunze mwenyewe?. Mimi mwaka jana mwezi wa 6 nilikuwa na 15wpm (word per minute) na nilikuwa naangalia keyboard. Nikadownload typing master pro nikaanza kujifunza bila kuangalia, sasa hivi Nina 50wpm bila kuangalia na nampango was kufikisha 70wpm mwisho wa mwaka.
 
Download typing master uinstall ni nzurii mm nilianza kujifunza for sure ndan ya siku chache niliona mabadiliko makubwa.
 
Back
Top Bottom