Uzi maalum wa wanafunzi wa vyuo (university)

273

Member
Sep 12, 2017
63
82
Kama kichwa kinavyojieleza,,,,,,

Karibuni wanavyuo wote wa Tanzania tuweze kupeana updates na kubadilishana mawazo juu ya maswala mbali mbali.....

Karibuni
 
Madogo mna mchecheto,,,majina ya kurekebisha waliokosea apply mkopo ni lini?
 
Ukiitwa Dogo Na Third Year
Utajisikia Normal?
Wote ni continuous sio rahisi kuitwa hivo,,ngojen siku mnaenda piga paper ya ds kwnye UE mnazomewaga hatari aise , uliza uambiwe hall 5 frst year wanafanyiwaga nn,, ila nawaonaga wajinga cause continuous bado unakaa hostel za chuo af unazomea mtu huhuhu
 
Jiheshimu Mkuu Nimesota Hapo Hall 4 Enzi Za Kina PUNCH.
Nadhani Ulikuwa Bhado Unalamba Kamasi.
 
Orodheshen namba zenu niwafungulie group whatsapp,ila mnachanga kichwa kimoja buku 5 kama huna kichwa bure
 
Sa mbona post ya udsm unaomba link ujiunge group la wanachuo, umekosa kazi za kufanya au maana obviously unatakiwa uwe na mambo muhimu ya kufanya sio magroup ya wanachuo
 
I Like Learning And Sharing Ideas
No Matter With Who I'm Sharing.
 
Orodheshen namba zenu niwafungulie group whatsapp,ila mnachanga kichwa kimoja buku 5 kama huna kichwa bure
Una matatizo ya akili i see,,mwenye whatsapp mwenyewe hajawachaji ela mnadownload bure af ilo group unataka bukutano mnagawa vocha za bure kwnye ilo grup au
 
Back
Top Bottom