Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,569
Shule za binafsi zilikuwa na utaratibu wa kuendeshwa kwa mihula mitatu yaani January - March; April /Masika wanakuwa likikizo; May -July; August / Vuli wanakuwa likizo, September - November; December / msimu wa sikuuu za mwisho wa mwaka wanakuwa nyumbani.
Kwa serikali kupiga marufuku utaratibu huu sasa hivi watoto wetu wanateseka sana na hizi mvua zinazoendelea wakati wangekuwa likizo. Niishauri tuu Serikali kama kuna kitu kizuri kinachofanywa na sekta binafsi wasione aibu kuiga kwani sekta binafsi na serikali zote zinahudumia jamii ile ile ya Taifa la Tanzania