Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo, ningependa kupata ufahamu kidogo kuhusu kujifunza kwa vitendo.
Nina ndugu yangu wa karibu ni mwanafunzi wa mwaka wa pili kutoka chuo kikuu Mzumbe...
Kwa kweli shule nyingine zinajitakia matokeo mabaya bure, hii shule ya sekondari ya Taqwa imeweka utaratibu wa kulipa karo kwa awamu mbili ya mwezi Januari na Julai wakati wa kufungua shule...
Na Asha Bani - Mwanahalisi
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mkubwa katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Mkwawa, uliotokana na kuwalipa...
Kama kitu hata mungu hatokusamehe ni kutumia ukweli kukandamiza maslahi ya mtu...Hii ni sawa ukamwambia mtu ile hela nimekuibia mimi ila kwa kuwa nilikuwa na matatizo...
Huwezi kuleta matatizo...
Bado vitabu vyenye matatizo vimeendelea kutumika shuleni huku vikiwa na makosa mengi mno. Vilipotolewa vitabu vya mwanzo na TIE vilikuwa na makosa mengi sana. Bunge liliwaambia waviondoe kwenye...
Prof. CASMIR MUSHANGORE LUBAGUMYA has echoed remarks made recently by Ex president BENJAMIN WILLIAM MKAPA who doubles as Chancellor of university of Dodoma. H.E MKAPA said, in March 2018, that...
Wadau wa forum hii heshima kwenu.
Naomba kujua kama Usajili wa vyuo umeanza rasmi kwa mwaka huu 2018/19 kwa NACTE ama labda kama kuna linki ya za vyuo mbali mbali ambavyo vimeanza tofauti na...
Habari zenu wakuu.
Nina mdogo wangu mwenye diploma ya medical laboratory.
Anataka kujiendeleza kimasomo(yaan kuchukua degree ya kwanza) lkn isiwe mambo ya afya.
Anachotaka yeye in vitu kama...
Wakuu nawasalimu Wana poleni na majukumu! Kwa wale wazoefu na wajuzi wa hizi shule za vipaji maalaumu mfano iliboru, kibaha, mzumbe mtwara tech, tanga tech, ifunda, etc. Ni Kwa nini serikali...
Kuna rafiki yangu anaomba kujua kuhusu utalatibu wa kuhama,kutoka kuwa mwalimu wa s/msingi kwenda vyuo vya kati,kwa sasa ana shahada ya elimu ya awali,ni hatua zipi anatakiwa kuzifuata?
Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya.
Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri.
Naitwa Francis Jackson...
Wana Jf nataka shule au college ya kujitolea kufundisha nitakapomaliza Chuo, Mkoa wowote Tanzania. Nasoma Degree ya special needs education. kwa masomo ha kufundisha nimesoma English literature...
Habari zenu wadau! Hebu tuambie ni hesabu gani ulikuwa huzipendi kipindi upo Sekondari, na zipi ulikuwa unazipenda Sana..... Binafsi hesabu za maumbo nilikuwa nazichukia Sana, yani nikiletewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.