Walimu enzi hizo Mbeya

Walimu enzi hizo Mbeya

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Enzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa.

Mwaka 1986 pale Mbata pr school Mbeya kulikuwa na Mwl dada mmoja Peter naye alikua akichapa balaaa. Sema alikua na umbo na tako zuri. Sujui yuko wapi siku hizi... Nilimpenda!!

Mbata mnamkumbuka Mwl mhina!? Huyu dada alikua mwembamba na mdogo wa umbo lakini alikua mkali usipime. Ole wako awe mwalimu wa zamu halafu uchelewe 'namba'! Sijui kako wapi.

Alikuwepo pia dada masawe yeye alikuwa akichapa mikononi na rula. Na baridi lote la Mbeya mikono ilikuwa ikifa ganzi.
 
Kama 1986 ulikua primary school ulipaswa kuandika vitu vya maana sio huu utoto wa watoto wa 2010. Endana na umri wako
lazima tukumbuke enzi hizo
mm Primary ilikuwa 1976
nikipitia post hizi nasisimka
sio za enzi za 2010 ni .com na kubanjuana tu
fuatilia utadhani ni jukwaa la wajukuu
Jukwaa sasa litenganishwa watoto waliozaliwa jukwaa lilipoanzishwa
na sisi tuliolianzisha
 
ukute mtoa post mzee wako
Ahaha hapana mkuu

Enzi yeye yupo primary Mzee wangu alikuwa anakomaa na life la kigheto Gheto

Wajanja wa Mbeya enzi hizo wanatoa vifaa vya umeme south nakuleta bongo

Alichelewa tu kuoa,huyo hawez kuwa Mshua wangu
 
Enzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa.

Mwaka 1986 pale Mbata pr school Mbeya kulikuwa na Mwl dada mmoja Peter naye alikua akichapa balaaa. Sema alikua na umbo na tako zuri. Sujui yuko wapi siku hizi... Nilimpenda!!

Mbata mnamkumbuka Mwl mhina!? Huyu dada alikua mwembamba na mdogo wa umbo lakini alikua mkali usipime. Ole wako awe mwalimu wa zamu halafu uchelewe 'namba'! Sijui kako wapi.

Alikuwepo pia dada masawe yeye alikuwa akichapa mikononi na rula. Na baridi lote la Mbeya mikono ilikuwa ikifa ganzi.
Weka Na walimu wa Itiji, Maendeleo, Majengo Juu, Majengo Chini, Sisimba, Azimio, Umoja, Kwa Sijabaje Na shule nyinginezo
 
Richard Kasela a.k.a Smasher- Sisimba.
Mwaisaka- Sisimba
Isambi "Reca" Ntipoo- Mathematics Guru, Meta Sec
Magerewanya- Mbeya Sec
Msomba- Azimio
 
sijui unamkumbuka mwalimu alikua anaitwa SWETARA AKA Kalubandiks nzovwe primary miaka ya 90 mwishoni?
 
ha!ha!ha!duh swetara hili jina sio geni,mi nilisoma SIMIKE PR,kuna madam mmoja Wa kiingereza alikuwa mzur balaa,ingawa nilkuwa mdogo kiumri but nilitambua uzur wake!!!
 
Enzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa.

Mwaka 1986 pale Mbata pr school Mbeya kulikuwa na Mwl dada mmoja Peter naye alikua akichapa balaaa. Sema alikua na umbo na tako zuri. Sujui yuko wapi siku hizi... Nilimpenda!!

Mbata mnamkumbuka Mwl mhina!? Huyu dada alikua mwembamba na mdogo wa umbo lakini alikua mkali usipime. Ole wako awe mwalimu wa zamu halafu uchelewe 'namba'! Sijui kako wapi.

Alikuwepo pia dada masawe yeye alikuwa akichapa mikononi na rula. Na baridi lote la Mbeya mikono ilikuwa ikifa ganzi.
masawe wa shule gan na mwaka gan?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom