Msaada wa english dictionary app nzuri.

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habari za majukumu wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni mnisaidie link ya kupakuwa dictionary yenye pronunciation (matamshi) ya AmE na BrE. Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Jaribu hh off line Dc
Screenshot_2018-04-24-21-31-19.jpg
 
Mkuu huna play store au google play zenye application course ukiingia tu kichwa kichwa unaweza haribu simu
 
Back
Top Bottom