Msaada wa mawazo ya kielimu kwa wenzetu wanaotoka O- level

jaah

Member
Feb 18, 2018
16
12
HABARI ZENU WAKUU...


Napenda Kuwauunganisha Form 4 wanaopenda kwenda chuo moja kwa moja, Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi zilizo kwenye soko kwa karne hii.

Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa O-level,
--Marketable course in terms of EMPOLYMENT
--opportunity
Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania

--Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
--Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali

NB...NAPENDA KUKARIBISHA MASWALI, MIJADALA NA HOJA MBALIMBALI KUSAIDIA NDUGU ZETU KATIKA HATMA YAO YA MASOMO YA NGAZI YA JUU.


Ahsanteni.
 
0cf036ed4f3845e1326f0023502ada4f.jpg
 
Bro m Nina C saba na B tatu.
B Ya1 bioz
B Ya2 chemistry
B ya3 English

Nataka kusoma diploma in clinical medicine ila bado sina mwanga Ata kdogo tafadhali naomba msaada
 
Back
Top Bottom