Je inawezekana kusoma master pasipo bachelor's degree kwa aliyesoma diploma

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
610
698
Wakuu nilikuwa Nahitaji kujua yafuatayo
1. Je, kuna uwezekano wa kusoma master pasipo kupitia degree ya kwanza katika ulimwengu wa sasa wa kielimu na kama ndio Je nivigezo gani ambavyo vinahusika ili mtu

2.Je kuna uwezekano wa mtu kusoma PhD pasipo kupitia master ? kama ndio ni vigezo gani ambavyo mtu apaswa awe navyo.
 
Mkuu kusoma Master pasipo degree inawezekana ksbisa kwani mtu aliyehitimu form four anaweza soma mpaka kuwa professional aliye equivalent to degree au zaidi ya degree na kuwa admited kusoma Masters. Mfano ninadhani umesikia ugumu na thamani ya CPA, ACCA, lakini tambua baada ya form four unaweza soma level mbali mbali hadi kupata CPA au CSP bila kusoma degree hali ya kuwa CPA na CSP zina thamani kuliko degree na ukiwa Nazo unaweza kuwa admited kusoma Masters degree bila mashaka.
 
UMEMJIBU VEMA
 
kumbe ni possible nilikuwa sijui kabisa nikiwa nadhani ni lazima mtu apitie degree ili asome master but thanks a lot kwa ufafanuzi mkuu.
 
Wakuu nilikuwa Nahitaji kujua yafuatayo
1. Je, kuna uwezekano wa kusoma master pasipo kupitia degree ya kwanza katika ulimwengu wa sasa wa kielimu na kama ndio Je nivigezo gani ambavyo vinahusika ili mtu

2.Je kuna uwezekano wa mtu kusoma PhD pasipo kupitia master ? kama ndio ni vigezo gani ambavyo mtu apaswa awe navyo.
PIA UNAWEZA KWENDA CHUO KUSOMA SHAHADA PASIPO KUPITIA FORM FOUR AU FORM SIX
 
Mleta mada kuna mtu hapo juu ameeleza kwa ufasaha sana kuhusu mtu kufanya kozi mbali mbali na then kuwa awarded qualification ambayo ni sawa au zaidi na Degree, mfano hizo CPA n.k, lakini pia mwingine ametoa mfano wa Sumaye, ana Diploma but kafanya Masters Harvard (kasoma na rafki yangu) bila kuwa na Degree.
Niongezee uelewe zaidi.
1. Mfumo wa Elimu, hasa wa wenzetu mtu akiwa na Diploma na ufaulu wa juu sana anaweza kufanya Masters directly.
2. Mfumo wa wenzetu wa Elimu, mtu akiwa na Diploma + uzoefu wa kutosha katika hilo eneo anaweza kufanya Masters, mfano Sumaye (Diploma + uzoefu wa 10yrs kama TZ Premier).
3. Mtu mwenye Degree anaweza kufanya PHD moja kwa moja bila kuwa na Masters, hii ipo nje hata hapoa kwetu, angalia prospectus ya SUA utaona hiyo kitu!!!!
 
Mfano Lawrence Mafuru ...After high school alisoma certificate of Banking pale IFM then akawa admitted kufanya professional exams za Banking huko UK ....alipohitimu akapiga MBA UDSM ....inawezekana kabisa na wengi wamepitia njia ya professional exams after high school akiwemo Reginald Mengi , Dr. Makongoro Mahanga, Dr Edmund Mndolwa (retired partner PWC) ...n.k ...kufahamishana ni afya ...
 
naje ikiwa GPA ya bachelor degree yako ni pass yani below 2.7 unaweza kusoma master.how?
 
Kama gpa yako ni bellow yaani pass au lower ni lazima usome post graduate diploma kozi ya mwaka mmoja then unaruhusiwa kufanya level ya master!
 
Naweza mshauli dogo juu ya hili.

Mtu aliye soma eng, aka graduate kwaa level ya Diplom

Anaweza endelea kusomaa masterz ya kitu au kozi.

Endapo alipiga upper second class??.

Ufafanuzi kidogo,
 
Vyuo vingine hapa Tanzania hata ukimaliza darasa la saba unaweza ukajiunga na ukapatiwa PHD ya heshima.
 
Inawezekana, Ninae rafiki yangu ni mkurugenzi, sehemu fulani, alipo maliza diploma ya Elimu, alifanya mitihani ya uhasibu, baadae akafanya post graduate diploma, baadae kafanya Masters... Mzumbe
 
Back
Top Bottom