Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo? Nina mdogo wangu kachaguliwa 1.IAA kozi ya Accountancy in IT 2. Transport and Logistics NIT 3. Business administration ,innovation and entrepreneurship...
4 Reactions
24 Replies
382 Views
Anonymous
Kero yangu inahusu kufukuzwa kwa Wanafunzi wanaokosa au kupungukiwa ada katika Shule za Serikali hasa ukizingatia Sera ya Serikali ni elimu bure. Mkoani Iringa, Wilaya ya Iringa Shule ya Bweni ya...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Anonymous
Shule ya Sekondari Keko, iliyopo Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Temeke, imekuwa na michango mingi sana kwa wazazi ambayo hadi tunashindwa kuelewa. Zaidi ya hapo, sasa wameweka utaratibu ambao ni...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Anonymous
Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu...
4 Reactions
30 Replies
452 Views
https://www.you-books.com/ Sample novel: TRUE COLOURS https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_fm01.html...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Anonymous
BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA...
0 Reactions
1 Replies
39 Views
Anonymous
Kumekuwa na changamoto katika usimamizi na uchakataji wa taarifa za wanafunzi, kuanzia hatua ya usajili hadi utoaji wa namba za AVN. Ucheleweshaji huu umekuwa ukivunja matumaini ya wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
71 Views
Nimechaguliwa kozi ya it, kwa wale wanayo ijua hii kozi naomba wani fafanulie kuhusu fursa zake za ajira pamoja na kujiajiri Kama inawezekana,pia naomba na ufafanuzi wa hii kozi kuhusu urahisi...
1 Reactions
3 Replies
108 Views
Kuna kozi ya Higher Diploma in Mental Health Nursing iliyoanzishwa mwaka 2025, lakini hadi sasa haijafahamika wazi kama iko chini ya usimamizi wa NACTE au Wizara husika. Tumejaribu kupata...
1 Reactions
0 Replies
44 Views
Anonymous
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi...
2 Reactions
2 Replies
468 Views
Anonymous
Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
Kipande cha video kinachomwonyesha mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mwalimu akirusha matangazo ya moja kwa moja (Live) mtandao wa TikTok huku wanafunzi wakiwa katikati ya mtihani kimeibua mjadala...
1 Reactions
2 Replies
61 Views
Badala ya kusubiri mabadiliko makubwa mwaka 2028, serikali inaweza kuanza mapema kwa kufanya pilot programme kwa wanafunzi wote wa darasa la saba mwaka huu. Mtoto anayejua kusoma, kuandika na...
5 Reactions
5 Replies
178 Views
Anonymous
NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo. Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
IJUMAA KAREEM WAKUU 🤲🏾 Leo tusikumbuke tu kusema Ijumaa njema, bali tukumbuke pia kusamehe, kusaidiana na kumuomba Mwenyezi Mungu atufungulie milango iliyofungwa. Kila mmoja ana vita yake ambayo...
2 Reactions
2 Replies
38 Views
Nimejaribu kufanya online application ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), lakini mfumo umekataa na nimeshindwa kukamilisha maombi yangu. Nimejaribu mara kadhaa lakini bado mfumo hauniruhusu...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Wakuu habarini. Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi. Nimesoma BAED. Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha. Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION...
2 Reactions
6 Replies
207 Views
Anonymous (6de4)
Naomba kuwasilisha Jambo hili. Serikali iliyopo madarakani ambayo inakwenda kumaliza muda wake, imefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za wanafunzi, naomba TAKUKURU wafike na kulifanyia kazi, vijana...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Anonymous
Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi...
3 Reactions
4 Replies
231 Views
Back
Top Bottom