Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tunaomba mamlaka husika za Tanzania zifuatilie malalamiko ya kundi la vijana Watanzania waliolipa fedha kwa Top Education Consulting Limited (TEC) kwa ajili ya huduma za recruitment/placement ya...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Habari zenu, Mdogo wangu ni muhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine na amechaguliwa Bachelor of Procurement and Supply Chain Management Mzumbe. Wataalamu mbalimbali mnaonaje mchanganyiko huu...
4 Reactions
21 Replies
341 Views
Anonymous
Kuna shule huku Mkoa wa Dar es Salaam ipo Wilaya ya Temeke Nzasa maeneo ya Mbagala, mwanafunzi akikataa kununua biashara ya mwalimu, anapigwa. Fedha za mitihani nazo tunatoa kila mara hadi...
1 Reactions
5 Replies
88 Views
What to Consider Before Applying for a Degree Programme 2026 1. Know Your Form Six Subject Combination Your Advanced Level subject combination determines the degree programmes you are eligible to...
0 Reactions
5 Replies
180 Views
Anonymous
Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa...
2 Reactions
2 Replies
122 Views
Anonymous
Tumepata changamoto nyingine NACTVET, ambapo mfumo wao hauwezi kutoa AVN Number ya pili kwa mtu aliyesoma zaidi ya Diploma moja. Mimi nimesoma Diploma ya pili, lakini ninapoomba AVN kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Anonymous (9058)
Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM. Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning...
9 Reactions
28 Replies
984 Views
Anonymous
Nina hoja kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) naomba kuwasilisha moja ya jambo ambalo halijatolewa ufafanuzi kamili kuhusu mwenendo (progress) ya ulipwaji wa Overpayment kwa sisi ambao...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI...
1 Reactions
6 Replies
299 Views
Anonymous
Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), nikiwa katika mwaka wa pili wa masomo. Naomba kutoa malalamiko yangu kuhusu mwenendo wa mmoja wa wahadhiri wetu, ambaye kwa mtazamo wangu...
0 Reactions
4 Replies
121 Views
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics. Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati...
3 Reactions
19 Replies
995 Views
Tumemaliza toka mwezi wa 6 mwanzoni mbaka leo atujapata vyeti na kila kutiwatafuta wanasema baada ya wiki mbili hata ukienda pale veta kipawa majibu ayo ayo tunashindwa kufanya vitu vyengine...
1 Reactions
3 Replies
55 Views
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo. Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali...
83 Reactions
1K Replies
177K Views
Kwa zaidi ya Miaka 10 sasa ukipitia Majukwaa mbalimbali humu utakutana na Malalamiko ya Wazazi na Walezi kuhusu Maamuzi kadha wa kadha yanayotolewa na Shule Binafsi nchini ambayo yaaathiri Malezi...
1 Reactions
11 Replies
163 Views
Ndugu wanajamhuri ya Jf nini litoto langu pale nyumbani. Nililisomesha mipango dodoma akasoma coarse ya urban planing .. sasa najiuliza ataajiliwa kama nani maaana hata sielewi naomben msaada...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Anonymous
Mbeya Mjini wanafunzi wa Sekondari wanasoma mpaka saa nne usiku, fikiria mtoto anatoka nyumbani Saa 12 Asubuhi anarudi Saa 4 Usiku, ni masomo gani hayo, na vipi kuhusu usalama wa watoto? Jambo...
1 Reactions
7 Replies
191 Views
Anonymous
Private Media za Arusha (radio za Arusha) mfano mzuri ni SUNRISE ARUSHA FM na radio zingine wanatoza wanafunzi wa field Sh 50,000 up to 70,000 sasa sijui kama ni utaratibu umewekwa au wakina nani...
3 Reactions
8 Replies
171 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Makurunge kilichopo Kata ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, kero yangu ni uendeshaji mbaya wa Shule ya Sekondari Makurunge. Shule inaendeshwa kikatili sana...
0 Reactions
10 Replies
302 Views
Back
Top Bottom