Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi...
Kero yangu inahusu shule ya sekondari Mbagala Kuu iliyopo Manispaa ya Temeke. Kila mara shule hii imekuwa ikiwataka wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya mitihani ya majaribio.
Kwa mfano, wazazi...
Kozi ya Bachelor of Computer Science (CS) inalenga msingi wa kinadharia wa kompyuta: algorithms, miundo ya data (data structures), hisabati, mifumo endeshi na akili bandia. Bachelor of Information...
hii itakuwa thread ya kupost na kujifunza vitu mbali mbali kuhusu sayansi na saikolojia kuhusu mwadamu, viumbe wengine, dunia na ulimwengu kwa ujumla, hivyo kama una fact, qoutes au chochote cha...
Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kampasi ya kivukoni, kigamboni haturejeshewi pesa zetu (refund) za ada zilizidi baada ya kupata mkopo kutoka HESLB na hatujui lini tutarejeshewa.
Baadhi ya...
University of the people tembelea hapo pata degree yako kutoka marekani bure kabsa Kuna ya business administration miaka 3, computer science miaka 3 na health science hii ni miaka 4.
Pia Kuna...
Nimesoma katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na nilihitimu miaka mitatu iliyopita katika programu ya Bachelor of Technical Education in Civil Engineering.
Mwanzoni tulielezwa...
Kila mwaka...
Maelfu ya wanafunzi wanahitimu.
Wote wana...
Degree
CV
Coursework inayofanana
______
Sasa waza...Wewe Ni recruiter
umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume
Una CV 500 mezani
Una...
Wakuu,
Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa...
Kumekuwa na wimbi la MATOKEO mazuri sana kwa shule za PRIVATE, lakini ukweli ulio wazi, wanafunzi hao wengi wao matokeo wanayopata sio yao kwa sababu zifuatazo;
Wanafunzi wanapangwa katika hali...
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums kwa kutupa nafasi ya kuwasilisha changamoto iliyokuwa inawakabili wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza, kuhusu matokeo...
Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa shule wa shule ya sekondari Dunda iliyopo mjini Bagamoyo.Ila changamoto kubwa uliyonayo mbeleni katika uongozi wa shule ya...
Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania.
Kuna hali inayodaiwa...
Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna...
Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?
Nina mdogo wangu kachaguliwa
1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship...
Kero yangu inahusu kufukuzwa kwa Wanafunzi wanaokosa au kupungukiwa ada katika Shule za Serikali hasa ukizingatia Sera ya Serikali ni elimu bure.
Mkoani Iringa, Wilaya ya Iringa Shule ya Bweni ya...
Shule ya Sekondari Keko, iliyopo Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Temeke, imekuwa na michango mingi sana kwa wazazi ambayo hadi tunashindwa kuelewa. Zaidi ya hapo, sasa wameweka utaratibu ambao ni...
Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya...
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.