Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha...
2 Reactions
9 Replies
217 Views
Anonymous
Naomba ufafanuzi kuhusu maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB). Niliwasilisha maombi yangu na yakapokelewa. Tarehe 3 Septemba 2026 nilipoingia kwenye akaunti yangu, nilikuta ujumbe...
2 Reactions
12 Replies
391 Views
Anonymous
Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waombaji wengi wa mkopo wa HESLB, hasa sisi tuliotoka Diploma kwenda Degree. Kutokana na kuchelewa kwa matokeo ya Diploma, tuliopo kwenye kundi hili...
0 Reactions
5 Replies
366 Views
Anonymous
Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu...
3 Reactions
16 Replies
404 Views
DIRISHA KUWA WAZI HADI SEPT 18 KWA WANAOKAMILISHA MAOMBI Tunawajulisha waombaji na umma kwa ujumla kwamba, baada ya kuongeza siku 14 za kukamilisha maombi ya mikopo, zimejitokeza changamoto...
1 Reactions
2 Replies
174 Views
Anonymous (c258)
Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana. Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo...
6 Reactions
9 Replies
325 Views
Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini...
17 Reactions
155 Replies
3K Views
Hivi Data Science ni elimu gani na inahusu nini? Naomba maelezo kidogo kuhusu kozi hii. Je, kuna uwezekano wa kupata ajira baada ya kusoma Data Science? Pia, mwanafunzi aliyesoma PCB anaweza...
1 Reactions
1 Replies
94 Views
1. Bachelor of Cyber Security (IAA) 2. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (ARU) 3. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (MUCE) 4. Bachelor...
4 Reactions
19 Replies
443 Views
NACTVET (NACTE) huwa wanatoa Award Verification Number (AVN) kwa watu waliomaliza Diploma au Advanced Diploma. Namba hiyo hutumika kwenye admission mbalimbali, ikiwemo za vyuo vikuu kwa wanaotaka...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Anonymous
Nasoma Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Statistical Training Centre - EASTC), kilichopo Dar es Salaam, mwaka wa kwanza, tukiangalia muongozo Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)...
4 Reactions
15 Replies
424 Views
Anonymous (2f66)
Wanafunzi tuliohitimu Kidato cha Nne kutoka shule za sekondari za ufundi (Technical Secondary Schools), kisha kujiunga na vyuo vya kati (College), tunakutana na changamoto kubwa katika kuendelea...
1 Reactions
6 Replies
225 Views
Anonymous
Kuna changamoto ya Walimu wa Biashara (Business Studies) walioanza kuajiriwa tokea mwaka jana (February 2025) na wanaendelea kuajiliwa mpaka sasa! Kumekuwa na sintofahamu ya sisi walimu kutopewa...
1 Reactions
12 Replies
291 Views
Serikali imetakiwa kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa Waraka wa Elimu Na. 24 wa mwaka 2002 unaoweka mwongozo wa utoaji wa adhabu ya viboko shuleni, baada ya kubainika kuwa baadhi ya shule...
1 Reactions
1 Replies
48 Views
Anonymous
Shule ya Sekondari Bombambili iliyopo kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita, Mkoani Geita, inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji unaoathiri usalama wa wanafunzi ilihali maji ya GEUWASA yanapatikana...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia...
1 Reactions
3 Replies
166 Views
Nikichukua degree ya science general (microbiology & chemistry ) nitafanya kazi gani,,, na je kazi zipo? Msaada plz
2 Reactions
33 Replies
11K Views
Tunaomba mamlaka husika za Tanzania zifuatilie malalamiko ya kundi la vijana Watanzania waliolipa fedha kwa Top Education Consulting Limited (TEC) kwa ajili ya huduma za recruitment/placement ya...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Back
Top Bottom