Bachelor in Business and Project management TIPM VS Project planning and Management IRDP

Baby luby

Member
Joined
Nov 3, 2022
Posts
7
Reaction score
3
Hey Guys, naomba ushauri kwa mwenye experience anaejuwa kuhusu kati ya hizi kozi mbili which one is much better to study?
Job availability NGOs, private sectors and Government.
 
Ya pili iko vizuri but Kuhusu kazi Serikalini hiyo kozi ni ngumu Sana Kwa mwaka unaweza ukaomba mara mbili na ushindani ukakutoa, kama Una hobby na mambo ya biashara chukua Accounting & Finance, Accounting & IT na kozi nyingine zinazohusiana na hizo nilizotaja maana miaka miwili utajikuta umeomba Serikalini kazi zaidi ya kumi so unaweza kupata moja....Kwa Private na NGOs unaweza kubahatisha kazi....

Kumbuka unaposoma chuo lazima ujue unataka kuwa Nani siyo unasoma soma Tu ilimradi, kaa mwenyewe tafakari Kwa kina chumbani kwako bila kuomba ushauri wa mtu, pata Utulivu na kufikiria Kwa kina kabisa , be true to yourself unataka kuwa Nani halafu fuata ulichoamua Kwa moyo wote kipiganie bila kuchoka, utafanikiwa Tu mbeleni....
 
Project planning and management
 
Thanks, nilitaka Economic and finance lakini nahisi hesabu kidogo zitanishinda, than nimekaa nimefkiria mbona lakini najuwa kuna watu hichi mimi nnacho kifkiria wao tayari washa experience huku nje na wanajuwa kipi ni bora zaidi that's why nimeleta hapa nipate muongozo zaidi
 
OK, mungu akubariki...
 
Back
Top Bottom