wakuu naomba kuuliza kuhusu selection za chuo......kama deadline ya kwanza ni tar 15 august,Ina maana majibu ya application yanatoka kwanza au tuna endelea na second round ku apply????
Je kuna mtu yeyote anayeza kunisaidi chakufanya ili nizipate refference no maana bila ya hz siwez kuapply SUA maana hz znaitajika kwenye malipo au mwenye namba ya ugonzi wa SUA plz mnisaidie...
I offer home tuitions only on physics, chemistry & mathematics for both Ordinary level & Advanced level.
My contacts: 0625755889
Location: Morogoro Town
Poleni wakubwa kwa pirikapirika za siku ya kazi zilizoisha naimani mnaendelea vizuri na weekend yenukuna jambo naombeni mumsaidie mtu wangu wa karibu.
Kama kichwa cha habari nilivyokiandika hapo...
Wakuu ninaomba msaada kidogo kuhusu Bachelor of Vetenary medicine ya pale Sua. Kwa anayeijua au kwa aliyeisoma, Je ina ajira kwa sasa?? Au bado mazinguzi
The University of Dar es Salaam through the School of Education and the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies invites applications for admission into a MASTER OF EDUCATION IN...
Habari wakuu.... nategema kuanza chuo (bachelor)soon and Nina options ya course ambazo ni INTERNATIONAL RELATIONS AND DIPLOMACY, JOURNALISM, MASS COMM Na INFORMATIONS AND RECORD MANAGEMENT...
The University of Dar es Salaam through the School of Education and the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies invites applications for admission into a MASTER OF EDUCATION IN...
Kwanza mmechagua fungu jema ila chukua haya..
1.Discipline ndo inaamua umalize chuo au usimalize, means kwamba hata uwe kipanga kiasi gani kama huna nidhamu ''shingo" itakuwa mali ya machief...
Wakuu hbarini za jumamosi!
Ninaomba msaada wa kufahamu kuhusu post graduate ya mtu aliyesoma education na akataka kusoma sheria, uwezekano wake ukoje? Mana hitaji kutumia bachelor ya education...
Nimeona watu wengi wakianzisha nyuzi za kuuliza maswali mbalimbali kuhusu vigezo vya kupata chuo, kozi kulingana na matokeo husika.
Ni vyema tuwe na uzi mmoja ambao utabeba kila kitu kuhusu...
Habari ndugu zangu,
mimi ni mwalimu nimehamia wilaya mpya kutoka kituo changu cha zamani,nimepata shida ya kuhamishiwa mshahara wangu toka mwaka jana mwezi wa kumi,nimefata taratibu zote jibu...
wakuu Nina rafiki angu alimaliza form six mwaka 2014 HGK aliparmta division two ya 8 by then sasa nilikuwa nauliza naweza mshauri akasome kozi IPI chuo kikuu except education
Thanks
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha nne mwaka 2017 lakini nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano kutokana na ufaulu wangu ivo basi nahitaji msaada wa mawazo ni kozi gani ni nzuri ili...
Wadau habari hivi awamu ya pili ya uhamisho wa watumishi inatoka lini? Walitangaza kua watatoa majina ya awamu ya pili lakini mpaka leo July 27 hakuna majina yoyote yaliyopostiwa
Kwa wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.