Kampala university ni chuo bora au sio chuo bora?

Kampala university ni chuo bora au sio chuo bora?

Kuna best yangu alisoma hapo 1 yr,akasogea UDOM sasa sijui kina matatizo gani! Nenda palepale ukifanye research
 
Bongo kuna vyuo bora?..hujasikia asilimia 61 wanamaliza bila ya kuwa na maarifa ya kazi.
 
Mkuu tafuta chuo chchte cha afya ila sio kile vyuo vya afya vya dar pasua kichwa
 
TCU wanaachia chuo kikuu kibovu??????????????????????!!?!!!!!!!?????????????
Kama Ni kibovu TCU inatakiwa kuwajibika.
Yaan sijui kuna agenda gani na hiki chuo lakini amini nakwambia hakuna shule pale
 
Vipi kuhusu main compus Kampala kwenyewe, nacho hali ni ile ile!?
 
Mimi nimeambiwa wewe hujaambiwa???
Niambiwe nini?

By the way KIU ni chuo kizuri ila sio sana kama unavyotaka kuwaaminisha watu.

Labda uwe hujui tofauti ya kusema kizuri na kizuri sana.

Kingekua kizuri sana mwaka wa masomo 2017/2018 kisingezuiliwa kudahili wanafunzi wa kozi za afya kwa upande wa shahada..

Kuzuiliwa kudahili kunaonyesha mapungufu fulani yaliyopo chuoni hapo.

Hivyo habari yako nzima ya kudai KIU ni chuo kizuri sana kwa kozi za afya inakuwa hogwash.
 
Huoni pia kufungia inaweza kutokana na kutaka kupunguza idadi ya wanafunzi wa afya??..kwa sababu kampala walikuwa wanachukua wanafunzi wengi mfano bmls latestly walichukua 250..
 
Hivi kwanza kimeshafunguliwa na TCU kudahili fani za Afya?
 
Hahaha Mzee Felician hata ujamaliza semester yapili ushapata hofu haha Mkuu unazingua [HASHTAG]#codeRboys[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom