Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nashauri wafanye kama ifuatavyo: Wamwite na kumpa karatasi lake la majibu ya kiswahili, halafu wampe karatasi nyingine ya majibu aitumie kutafsiri sasa majibu yake kwenda kwenye lugha ya...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
mambo VP members ivi Ni taasisi gani inatoa mikopo kwa wanafunz WA Chuo ukiacha HESLB msaada please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndio wandugu, kwa yeyote anayetatizika na suala hili zito la kufanya application za vyuo mbalimbali nipo hapa kwa msaada zaidi. Kwa wale mliopo Dar es saalm tunaweza kuonana moja kwa moja...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM). Vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha! NB:Kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nini somo la history advanced level A au B huwa chache? Nipeni namna ya kufaulu kwa viwango tajwa hapo juu katika mtihani wa mwisho.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu naomba kwa wanaojua taratibu za kulipia online application kwa anayetaka kulipia hii fees ya kujisajili chuon SUA anisaidie process kwani nimejaza kwenye ile portal yao lakini nikishafika...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Bachelor of Veterinary Medicine: Hii ina maana gani tafadhali: Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and a pass in Physics/ Mathematics/ Science and Practice of Agriculture at the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ada ya diploma ya lab na famas sh ngp kwa mwaka PIA michango yote sh ngp ukijumlisha na Ada inakuwa bei gan namaansha off campus msaada please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kati ya diploma ya medical lab na diploma ya famasi ipi Ni nzuri kusomea kwa upande WA ajira na kujiajiri PIA kuendelea kusoma kwa level ya digrii
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wa jf, Nina mdogo wa Rafiki yangu wa form4 hawa waliomaliza juzi alifaulu kwa Division 3, kombi zote zimebalancy tatizo hajachaguliwa na pesa hana zakumpeleka private,anaomba ushauri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakat niko kweny daladala la gongo la mboto naelekea kumtembelea jamaa yangu pande za kisemvule kuna jamaa akawa anamuomba ushauri mwenzake.. huyo jamaa kasomea procurement sasa anamwambia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania Association of Managers and Owners of Non-Government Schools and Colleges (Tamongsco) Secretary General, Benjamin Nkonya Performance in science subjects has slightly improved in...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wana Jamvi. Naomba msaada, je mwaka huu mwalimu wa shule ya msingi wenye grade A haruhusiwi kusoma Diploma? Maana nina ndugu yangu anahitaji kujiendeleza ila vyuo vingi havitoi hii course...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu amepangwa hapo Matai Form v 2018. Shule ipo Wilaya ya Kalambo, Rukwa. Kwa masikitiko, ndugu yangu anasema shule iko katika hali mbaya sana, kiasi kwamba mabweni hayana madirisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
naomba kupata joining instuctions ya chuo cha ualimu mpuguso
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu? Mtu mwenye Div 2 ya point 12 kwa comb ya HKL anaweza kusomea kozi zipi chuo..
0 Reactions
5 Replies
13K Views
IN SUMMARY According to the study, the monthly salary and allowances of a full professor in Kenya are an average of $2,200 compared with $4,900 in Rwanda, $3,200 in Tanzania and $ 1,150 in...
0 Reactions
43 Replies
18K Views
Wakuu Ni miaka kadhaaa sasa tangu nilipo hitimu kidato cha nne katika shule Fulani ya kata hapa kwetu Nakumbuka shule yetu ya kata tulifaulu watu wengi kuliko miaka yote ya nyuma.... Division...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...
1 Reactions
51 Replies
51K Views
Back
Top Bottom