MSAADA JAMANI NIMEPOTEZA REFFERENCE NO ZA CHUO CHA SUA

MSAADA JAMANI NIMEPOTEZA REFFERENCE NO ZA CHUO CHA SUA

Joined
Jul 14, 2018
Posts
36
Reaction score
7
Je kuna mtu yeyote anayeza kunisaidi chakufanya ili nizipate refference no maana bila ya hz siwez kuapply SUA maana hz znaitajika kwenye malipo au mwenye namba ya ugonzi wa SUA plz mnisaidie pengine wataweza kunishauri chakufanya
 
Unamanisha Namba za muamala ama?
Ndio ndugu SUA walinitumiaga wiki iliyopita kwa bahati mbaya simu nilifrash na kibaya zaidi hata kwenye email kumbe niliifuta kwa kuzania watanipa nyingine siku nikitaka kujiunga sasa kumbe ndio wakikutumia unatakiwa ubaki nayo ndugu hapo sasa ndio tatizo kama unaujuz wowote msaada naelekea kuchanganyikiwa ss
 
Hebu eleza kwa ufasaha kitu ulicho poteza usaidiwe.
 
Ndio ndugu SUA walinitumiaga wiki iliyopita kwa bahati mbaya simu nilifrash na kibaya zaidi hata kwenye email kumbe niliifuta kwa kuzania watanipa nyingine siku nikitaka kujiunga sasa kumbe ndio wakikutumia unatakiwa ubaki nayo ndugu hapo sasa ndio tatizo kama unaujuz wowote msaada naelekea kuchanganyikiwa ss
Wasiliana nao.
 
Kama ulifuta kwny email..nenda kwny folder ya "trash" utaikuta huko.

Thank me later
 
Fungua Email
1)binyeza juu kushoto Kuna vimstari click hapo
2)zitatokea options nyingi
3)shuka hadi sehemu imeandikwa trash
4)click hiyo trash itafunguka na kukuletea mail zako zote

Usipo ziona leta mrejesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom