Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Habari ndugu zangu,
mimi ni mwalimu nimehamia wilaya mpya kutoka kituo changu cha zamani,nimepata shida ya kuhamishiwa mshahara wangu toka mwaka jana mwezi wa kumi,nimefata taratibu zote jibu nalopewa tayari wamehamisha nisubiri mpaka makao watakapo thibitisha maana nipo Pending sasa toka mwaka jana mpaka leo npo pending,WADAU naombeni msaada wenu.
ASANTENI NA KARIBU