Bachelor of Vetenary Medicine

Bachelor of Vetenary Medicine

Shadow120

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Wakuu ninaomba msaada kidogo kuhusu Bachelor of Vetenary medicine ya pale Sua. Kwa anayeijua au kwa aliyeisoma, Je ina ajira kwa sasa?? Au bado mazinguzi
 
Ajira zake ni afadhali hata kujiajiri ni rahisi sana uhangaikaji wako tu.
 
Kaka zako hiyo kozi ndio inatupa jeuri mtaani....
therio, mbona SUA products wanaikimbia kuja medical research? Wengi wanasema "siwezi" kujipaka kinyes cha ngombe na wanyama wengine! Kuna best students wako , wengi research za medical inakuwaje? Mtaani siwaoni kujiajiri kama unavyosema (wapo wa certificate/diploma) ndio wanahangaika na kutibu, ufugaji etc. Ila nakubaliana na wewe ni field nzuri sana kujiajiri, nzuri sana tena sana. Shadow120 theriogenology ule uzi wako mbina siuoni, niwekee link
 
Mkuu siyo kwamba wanaikimbia veterinary medicine kwenda medical research-wako wengi tu wanaofanya katika fani ya tiba wanyama (serikalini na mashirika yake). Wachache wanajiajiri lakini upande huo una changa moto zake hasa nje ya miji mikubwa unakuta hali ya mambo ni ngumu kufanya practice iwe inalipa vizuri pamoja na competition kutoka kwa paraprofessionals. On the other hand, medical na biological research ni kazi zinazo kwenda na training ya vets na uelekeo wa sasa wa one health. Vijana hawa hufanya special project na hii huwaweka vizuri kuingia medical research.
 
therio, mbona SUA products wanaikimbia kuja medical research? Wengi wanasema "siwezi" kujipaka kinyes cha ngombe na wanyama wengine! Kuna best students wako , wengi research za medical inakuwaje? Mtaani siwaoni kujiajiri kama unavyosema (wapo wa certificate/diploma) ndio wanahangaika na kutibu, ufugaji etc. Ila nakubaliana na wewe ni field nzuri sana kujiajiri, nzuri sana tena sana. Shadow120 theriogenology ule uzi wako mbina siuoni, niwekee link
Sio kuikimbia..ningedhani hii ingekuwa ni moja ya advantages za kozi hii, kwamba ina uwanja mpana wa ajira, kwamba mtu aliyesoma BVM anaweza pia kufanya kazi kwenye medical research institutes.
 
Uko sahihi, LKN mbona MD hawaendi kwenye field ya VET? hata kwa research hawaendi! Anyway, nimesikia vijana hawataki kabisa kwenda kilimo, kila mmoja (wengi labda niseme hivyo) wanataka kozi za afya! Naamini Kilimo kinaweza kulipa zaidi kuliko kozi za afya. Pili nadhani jamii haiwaoni madakitari wa mifugo kama watu maana kama MD.... unaojaje Ta Nanka? I guess you are a Vet doctor!
 
Five years in veterinary schools, each year means New opportunity to succeed in life through Veterinary education.
Don't be scared with people's visions about veterinary education, what you should know it's a largest Asset you could ever have.
 
[emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom