Anthony Kabeho
Member
- Apr 12, 2018
- 72
- 38
wakuu Nina rafiki angu alimaliza form six mwaka 2014 HGK aliparmta division two ya 8 by then sasa nilikuwa nauliza naweza mshauri akasome kozi IPI chuo kikuu except education
Thanks
Thanks
Wewe ndio hauko serious, ningeona una akili kama ungeuliza iwapo ana penalti ya GS...U can't be serious ,two ya 8 ndo nn
2014, Division 1 ilikuwa mwisho ya 7 au mmesahauHata akipigwa penalty, inakuwa III na sio II
Kwani yeye anapenda kusomea mambo gani?, ili watu waanzie hapo kumshauri, kuna Course ipo UDSM na UDOM inaitwa Bachelor of Arts in Geography and Environmental studies ni nzuri na vigezo ni lazima uwe na 2 Principal Passes & one must be in Geography,pia UDSM kuna hii nyingine anaweza kusoma inaitwa Bachelor of Arts in Public Relations and Advertising ila he/she must have 2 principal passes and Credit of English subject at O-Level. Pia mwambie apitie TCU Guide Book, wameelezea vzr course na vigezo vyote vinavyohitajika kwa kila chuo. Kila rakheriwakuu Nina rafiki angu alimaliza form six mwaka 2014 HGK aliparmta division two ya 8 by then sasa nilikuwa nauliza naweza mshauri akasome kozi IPI chuo kikuu except education
Thanks