Msaada: Nisome kozi gani kwa ufaulu huu?

harmony designer

New Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
4
Reaction score
2
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha nne mwaka 2017 lakini nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano kutokana na ufaulu wangu ivo basi nahitaji msaada wa mawazo ni kozi gani ni nzuri ili niendelee na chuo kwa ufauru wangu wa maths-D, Bios-D,Geography-D,English-C,history-D,kiswahili-D,civics-D
 
Vipi umesoma physics?
 
Ninachofikilia kwa kipindi hiki ni kupata kazi nzuri kutokana na kozi ntakayopitia ndipo ntaangalia nifate ndoto zngu kwa njia gan kwasababu nitakuwa tayal nishaanza kutengeneza msingi wa maisha
Ngoja wataalamu waje mkuu

Ila watu wengi siku hizi wanasomea
Uhasibu
Maendeleo Y Jamii
Afisa Ugavi
 
Back
Top Bottom