Je, unajua kuhusu post graduate ya sheria?

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,824
Reaction score
2,199
Wakuu hbarini za jumamosi!
Ninaomba msaada wa kufahamu kuhusu post graduate ya mtu aliyesoma education na akataka kusoma sheria, uwezekano wake ukoje? Mana hitaji kutumia bachelor ya education kusoma sheria, naombeni msaada wa ufahamu wenu wana jamii forum.
 
Postgraduate diploma inatumika kwa namna Tatu tofauti.

(1) Kwa mtu ambaye amesoma mfumo wa zamani wa advance diploma ambayo ni equivalent na B.degree but not equal na anatakakujinga na masters. basi itamalazimu kufanya Post graduate diploma kwa mwaka mmoja kabla ya kufanya masters.

(2) Kwa mtu amabaye anataka kubadilisha fani. Mfano: una Bachelor degree in education na unataka kusoma masters ya Law. itakulazimu kwanza kufanya post graduate diploma ndipo uwe eligible kufanya masters.

(3) Kwa mtu ambaye hakufikisha minimum requirement kuwa admited kwenye same faculty kwa level ya masters. Mfano umesoma Degree ya Business administration ukapata GPA ya 2.5 na wakati wa kufanya masters wakakuambia minimum entry qualification inatakiwa uwe na GPA ya 3.0. basi ili kujiunga na iyo masters itakubidi usome postgraduate kwa mwaka mmoja ndipo usome masters

Asante na karibu
 
asante mkuu, ila naulizia hicho kipengele cha pili ulichokielezea mtu anayetaka kusoma bachelor ya law na sio masters anafanyaje? hapo umeelezea kwa masters
 
Hebu angalia maelezo ya swali lako kama yapo sahihi. nimejibu ulicho uliza kwenye swali
 
bila kukukwaza nikakosa maelezo ya msaada wako mkuu, mbona swali langu linahitaji uwezekano kwa mtu aliyesoma mfano bachelor ya elimu na anataka kubadilisha asome sheria japo sijaspecify kama ni bachelor ya sheria au masters ila ninachohitaji ni bachelor
 
postgraduate diploma inahusu watu wanaotaka kusoma elimu ya juu zaidi ya degree. kama ww una degree na unataka degree nyingine basi rudi TCU omba degree nyingine usome miaka mitatu kama kawaida.

Ila ukitaja Postgraduate diploma Ujue unazungumzia issue za elimu juu zaidi ya degree
 
bila kukukwaza nikakosa maelezo ya msaada wako mkuu, mbona swali langu linahitaji uwezekano kwa mtu aliyesoma mfano bachelor ya elimu na anataka kubadilisha asome sheria japo sijaspecify kama ni bachelor ya sheria au masters ila ninachohitaji ni bachelor
Najibu kama nilivo kuelewa.

Inawezekana kusoma hyo postgraduate ila itakuw kama daraja au foundation ya kusoma máster ya sheria. ILa ukikomea hapohapo kwenye postgraduate haitakuwa na sound na hautatambulika kama mwanasheria kwa kuwa umesoma msingi tú wa sheria kama njia ya kuelekea kusomea masters.

Kiujumla ukitaka kusoma sheria bachelor level ww itakubid uapply upyaaaa kama wanavyo apply hawa wasasaivi. tofauti na hapo itakubidi uanzie post graduate mwaka 1 kisha usome masters.
 
nakushukru kwa maana mtazamo niliokuwa nao ni tofauti na uliouelezea, ila naomba kufahamu uwezekano wake kwa mtu aliekuwa na aliyesoma elimu mfano kuja kusoma master ya sheria kwa kutumia postgraduate ya sheria?
 
jibu umepata lakini ndugu????
 
jibu umepata lakini ndugu????
nimelipata ndugu lakini naulizia huu uwezekano unampa urahisi kiasi huyu mtu alisoma mfano elimu kuja kusoma masters ya sheria kwa kutumia postgraduate ya mwaka mmoja?
 
nakushukru kwa maana mtazamo niliokuwa nao ni tofauti na uliouelezea, ila naomba kufahamu uwezekano wake kwa mtu aliekuwa na aliyesoma elimu mfano kuja kusoma master ya sheria kwa kutumia postgraduate ya sheria?
Ndiyo inawezekana kutoka education kuja law . Soma post graduate mwaka 1 zen masters
 
nimelipata ndugu lakini naulizia huu uwezekano unampa urahisi kiasi huyu mtu alisoma mfano elimu kuja kusoma masters ya sheria kwa kutumia postgraduate ya mwaka mmoja?
yes inampa urahisi. na pia ndio matakwa yake. soo haikwepeki
 
katika postgraduate anasoma kozi ngapi? je, hizo kozi ni za sheria?
 
mara nyingi postgraduate inagawanyika katika quarters. zinakuwa nne. soo kila moja yaweza kuwa na module nne
nahisi muda wa mwaka mmoja ni kama mfupi kutengeneza msingi wa masters ya law, naomba ufafanuzi wako mkuu
 
basically elimu ya masters ni kwa ajili ya kubobea kitu ambacho ulisoma degree. so kama mtu ume diverge career yako huna budi kujifunza binafsikuliko kutegemea darasani.

pia postgraduate inawafaa sana watu ambao wana degree nyingine na wanafanya kazi nyingine na wanataka kuwa proffesinal kwenye iyo kitu. mfano wewe una BAED afu unafanya kazi kama Afisa masoko kwa miaka 3. so unakuwa umesha ijua industry ipoje, ila unahitaji kuapata elimu zaidi na uwe certified
 
sawa ndugu nimekuelewa vizuri, ushauri wako unaweza ukawa upi ndugu kwa mtu anayehitaji kusoma law ila ana bachelor nyingine?
 
Back
Top Bottom